Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 195
Toka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn?
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki
Sent using Jamii Forums mobile app