Mbagala pia umeme ulikatika umerudi asubuhi, hata hivyo siyo mara ya kwanza kukatika usiku wa manane.Toka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn?
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa 7 usiku ww umeme wa kazi gani mkuuToka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn?
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umeshatoka ulaya?Hata pande hizi za Mwenge haupo! Umekatika imekuwa masaa kadhaa sasa.
Kwani kukatika umeme bongo nayo ni habari mzee?Toka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn?
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah watu mna kumbukumbu mapicha kibao mara nyumba mara mikoba kumbe yupo mwenge sokoni walahh