Msema hovyo
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 195
- 86
haya umepata so topic closed.kwa kuwa watu hamchangii basi mimi naanza, CCM ndo janga la taifa. maana CCM ndiyo chanzo cha matatizo yote yanayoikabiili nchi.
haha, bado nasubiri mawazo menginehaya umepata so topic closed.
'J'-anga la
'K'-itaifa
wewe ndo umefeli. Kwenye post yangu ya msingi kuna majina haya hapa CCM au Kikwete au Tanesco au Ngeleja?Exam failed: Wamekuuliza kati ya CCM na Umeme wewe hayo uliyoyajibu umeyatoa wapi?
Nimeipenda hiyo. J_anga laK_itaifa na slogan yake ya A_ri zaidiNGU_vu zaidiKA_si zaidi, unapata(ANGUKA ZAIDI) ndani yaC_hamaC_haM_ahaba/magamba/mafisadi etc'J'-anga la 'K'-itaifa
'J'-anga la
'K'-itaifa
'Malaria' na 'Kifo' lipi ni janga!? ...kifo kinaletwa na malaria na cha kukizuia hapa ambacho ndio janga kiko wazi
kWENYE HILI always............. Source and outcome nyote NI MAJANGA YA TAIFA.Kuna usemi unaosema kwamba ukianguka usiangalie ulipoangukia, bali angalia ulipo jikwaa. Kwa hiyo hata kwenye tatizo la umeme tunatakiwa tuangalia kilicho sababisha. Sasa wengi wanasema umeme ni janga la taifa, lakini mimi nasema tuangalie tatizo kwa mapana yake. Inawezekana janga la taifa hapa ni CCM au Kikwete au Tanesco au Ngeleja? Tutafakari.
Tatizo ni kuwa kifo kinaweza kikasababisha hata na kuchinjwa............. HIVYO VYOTE NI MAJANGA...............CCM and MGAO WA UMEMEMalaria= CCM
Kif0= Mgao
so solution ni kuzuia Malaria (CCM) isiendelee kutung'ata na kuambukiza ujinga watoto wetu