DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 87 Sep 23, 2011 #1 "Je una njia ya kufanya isiwe watatizo ili sie wenye kaz za kutegemea umeme tusilale na njaa?" Swali hili aliulizwa kijana mmoja huko Nanjilinji na muandishi wa habri,naye akajibu "Umeme ndio nini? Huku kwetu umeme c tatizo la kutulaza na njaa"
"Je una njia ya kufanya isiwe watatizo ili sie wenye kaz za kutegemea umeme tusilale na njaa?" Swali hili aliulizwa kijana mmoja huko Nanjilinji na muandishi wa habri,naye akajibu "Umeme ndio nini? Huku kwetu umeme c tatizo la kutulaza na njaa"
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,160 Sep 23, 2011 #3 kaazi kweli kweli!
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,827 Reaction score 1,317 Sep 23, 2011 #5 Serikali itatumia pesa nyingi sana maadhimisho ya miaka 50 uhuru wakati wananchi waliowengi hawajui umeme ni nini na hawajui kusoma na kuandika.....
Serikali itatumia pesa nyingi sana maadhimisho ya miaka 50 uhuru wakati wananchi waliowengi hawajui umeme ni nini na hawajui kusoma na kuandika.....
DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 87 Sep 23, 2011 Thread starter #6 bushbaby said: serikali itatumia pesa nyingi sana maadhimisho ya miaka 50 uhuru wakati wananchi waliowengi hawajui umeme ni nini na hawajui kusoma na kuandika..... Click to expand... kweli kabisa mkuu
bushbaby said: serikali itatumia pesa nyingi sana maadhimisho ya miaka 50 uhuru wakati wananchi waliowengi hawajui umeme ni nini na hawajui kusoma na kuandika..... Click to expand... kweli kabisa mkuu
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Sep 24, 2011 #7 umeme ni msamiati huo kwa baadhi ya sehemu hapa tanzania yenu.