Mwanamke anayejilinganisha na mwanaume ni hatari kwa uhai wa ndoa.Umeandika as if wanaume hawachepuki kabisa
Hebu acha kuegemea upande mmoja basi....wanaume wanachepuka zaidi ya wanawake!
Tena siku hizi ndio wameanza kuona kama ni haki yao kumiliki mchepuko
Hata sisi hatupendi unafki
Lazima ifike hatua mkubaliane tu kuwa Mambo hayaendi mbele Tena.Tatizo ukiwa na familia inakua kama investment,kupoteza sio rahisi
Mwanamke anayejilinganisha na mwanaume ni hatari kwa uhai wa ndoa.
Agiza pepsi kwa Mangi Don Clericuzio anakuja kulipaUmeandika as if wanaume hawachepuki kabisa
Hebu acha kuegemea upande mmoja basi....wanaume wanachepuka zaidi ya wanawake!
Tena siku hizi ndio wameanza kuona kama ni haki yao kumiliki mchepuko
Hata sisi hatupendi unafki
Lazima ifike hatua mkubaliane tu kuwa Mambo hayaendi mbele Tena.
Maana ili ndoa idumu lazima mmoja awe mvumilivu kupita kiasi kwa matendo ya mwenzie.
Kukishakuwa na kushindana hamuwezi kudumu.
Ni Bora mkatafuta namna nzuri ya kulea watoto kuliko mwingine akaishia ardhini na mwingine jela.
Ni afadhali hao watoto wakalelewa na mzazi mmoja kuliko kukosa wote
Kitendo Cha kujitetea kwa kuangalia wanaume wanafanya nini ni kujilinganisha wanaume.Hakuna nilikolinganisha hapo
Agiza pepsi kwa Mangi Don Clericuzio anakuja kulipa
Kitendo Cha kujitetea kwa kuangalia wanaume wanafanya nini ni kujilinganisha wanaume.
Wewe ni mwanamke. Tuko tofauti wanaume na wanawake kwenye aspect nyingi
Mkuu, kwenye ndoa hakuna wakati mtakuwa mna misimamo, tabia sawa.Mkishakua na familia,hamupaswi kuwa selfish kwa kuweka needs zenu mbele...
badilisha mind set mkuu..
unaoa/kuolewa sio tu kugegeda tu ni kuanzisha pia familia unayopaswa kuilinda...
By the way,hakuna ndoa isiyopitia magumu,kama wenzako wamepitia vipindi vigumu na kupita salama,why not you...u sacrifice everything in the name of mchepuko?? NO!
Mkuu, kwenye ndoa hakuna wakati mtakuwa mna misimamo, tabia sawa.
Ni lazima uamue kukubaliana na mapungufu ya mwenzio kwanza ndio utakuwa na amani.
Ukijikuta upo kwenye ndoa aafu kila siku unavutana na mwenzio Basi bado hamjaelewana.
Lakini tambua pia, kiafrica a man takes the lead of the family.
Suala la michepuko Ni subjective.
Kuna watu hawachepuki lakini ndoa zao Ni ngumu na Zina shida balaa. Kwa hiyo ugomvi wa kwenye ndoa nyingi sio sababu ya michepuko pekee.
Lakini pia msisahau kuwa, wewe unapokuwa na mume Kuna mwenzako kakosa. Na yeye anawinda. Kwenye mawindo yake wapo na waume za watu(off course, ndio preferences kwani wanajua kulea).
Kwani joanah anasemaje?