Umelewa?

Excellent, hivi siku hizi unatoka na nani? Manake huu ualimu wa kilabu cha mataptap sijui ulikuwa manufactured wapi!

we sema umeshindwa zoezi,ninaye toka naye anafanya kazi banana breweries.
 
kwahiyo mda wote ulikuwa unahangaika kutafuta jibu?
 
2+2=samaki
3+3=8
7+7=pembe tatu
4+4=mshale
8+8=kipepeo

umeelewa nachomaanisha?
Excellent,hv huon mie ambae nilisoma inchi isiyofundisha hesabu unanione?au ndio unaninyanyapaa!!!!
Naishia kuona kizungu zungu tu hapo walah!
 
haaaaaaaaaaa,
umefanya nibanwa mimi kwa kucheka.

ngoja niwahi huko mbele.

sielewi...
Unataka kuniambia kuwa haja imegonga kapeti? Ndo maana nasikia harufu nisiyoielewa eh...
 
Excellent,hv huon mie ambae nilisoma inchi isiyofundisha hesabu unanione?au ndio unaninyanyapaa!!!!
Naishia kuona kizungu zungu tu hapo walah!

Cantalisia nitakuulezea halafu utajiuliza mwenyewe kivipi sijagundua?
 
...bebii..nini hicho umeandika hapo...au unataka kumshobokea watu...lol
 
...bebii..nini hicho umeandika hapo...au unataka kumshobokea watu...lol

akuu....mi wala simshobokei mtu....halafu bebii....twende kule kwenye thread ya networker....kuna kitu nataka kukwambia.....
 
Haya nasubiri bana,
Nikijua tu humu ofin kuna mtu nitaenda kumzingua nayo!!!

yaani 2+2=samaki,ina mana hizo mbili zikigeukiana zinakaa kama mchoro wa samaki vile
3+3=8 mana yake ukifanya zigeukiane zinaonyesha ni nane
7+7=pembe tatu means zikigeukiana zinaonyesha kama kama pembe 3 ilivyo
8+8=zikigeukiana au kuziunganisha zinaonekana kama kipepeo
4+4=mshale,means zikigeukiana zinaonekana kama mshale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…