he he he he mimi huwa napenda kweli hizi post za mapenzi,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,kama kawaida kuna kutokuelewana wakati mwingine kwenye ndoa kuna wakati tuliwahi kukaa miezi mitatu bila kutimiza swala la ndoa na mume wangu baada ya muda akaninunulia toy la kujitimizia mwenyewe haja zangu kama zawadi,nimeuliza kwa wana ndoa wenzangu wakasema hivyo si swa kabisa kwa nini anipe wakati yeye yupo labda tungekua tunakaa mbali mbali,kweli wana jamii hilo munalionaje mumeo upo nae ndani anakuletea hiyo zawadi wakati yeye yupo upo nae ndani na wakati huo huo muda muda mrefu hajakuudumia??unajaribu kufanya kila njia aone unaitaji hilo,hapo hapo unahisi ana uhusiano wa mapenzi na mwanake mwingine maana hata ratiba zake huzielewi mara katoka kachelewa kurudi mara hapokei simu,nisaidieni wenzangu labda naweza pata jambo kusave ndoa yangu,
nampenda sana mume wangu na sitaki kumpoteza
...,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,...
si mzungu,mweusi aliazaliwa ushwahilini haswa,haya mambo ya kizungu tena analeta wakati huu hakuyaleta wakati tupo wachumba maana tumekua pamoja zaidi ya miaka mitano kabla ya kuoana,...
he he he he mimi huwa napenda kweli hizi post za mapenzi,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,kama kawaida kuna kutokuelewana wakati mwingine kwenye ndoa kuna wakati tuliwahi kukaa miezi mitatu bila kutimiza swala la ndoa na mume wangu baada ya muda akaninunulia toy la kujitimizia mwenyewe haja zangu kama zawadi,nimeuliza kwa wana ndoa wenzangu wakasema hivyo si swa kabisa kwa nini anipe wakati yeye yupo labda tungekua tunakaa mbali mbali,kweli wana jamii hilo munalionaje mumeo upo nae ndani anakuletea hiyo zawadi wakati yeye yupo upo nae ndani na wakati huo huo muda muda mrefu hajakuudumia??unajaribu kufanya kila njia aone unaitaji hilo,hapo hapo unahisi ana uhusiano wa mapenzi na mwanake mwingine maana hata ratiba zake huzielewi mara katoka kachelewa kurudi mara hapokei simu,nisaidieni wenzangu labda naweza pata jambo kusave ndoa yangu,nampenda sana mume wangu na sitaki kumpoteza
...kuna kila dalili mahusiano/ndoa hii uliyumba wakati fulani...
...inaonesha tayari 'ushampoteza'.
sasa kuleta hilo lidude ni kwamba yeye hataki/hana hamu tena ya ku sex na wewe ndio akaakuamua atumie njia hiyo? ninavyijijua nicngeweza kuvumilia kutokumuuliza, ningemuuliza na anipe jibu la maana halic ya kuniletea hilo dude, kama haiwezekani tena kusex na yeye aniambie kuliko kuniletea ma toy ndani ya nyumba, loo ndoa zina mambo aisee.
Huyo bwana nadhani hilo toy alikuwa anapeleka kwingine; na bahati mbaya alipojikuta yuko home akajidai amekuletea. Kwani amewahi kuuliza unajisikiaje ukitumia hilo toy? Kama aemwahi kukuuliza basi ni kweli la kwako na unahiyari sasa kusuka au kunyoa , na kama hajawahi kukuliza basi mimi niko sahihi-halikuwa lako-kachemsha
..."ulitakalo hupati, wapata ujaliwalo!"
fumbua basi fumbo lako...maana umeniacha ndugu!
...hello Penny, nice pic,..baridi haijapungua huko? ...umepotea siku mbili tatu hizi... kwani msemo huo unaugumu gani kuufumbua jamani? soma tena;
-Unalolitaka -hupati, -unapata -unalojaaliwa!
umeelewa? ...hata upate mume/mke mzuri wa kila kitu, bado atakuwa na kasoro zake.
Thanks for the compliments and the tafsiri, siunajua tena lugha hii ngumu hata kama ndo nimekuwa nayo. Isitoshe nilikuwa nafeli sana somo la kiswahili shule...ukija kwenye mafumbo ndo kabisa uminiacha yani. Huku mwenzangu baridi mwaka huu imetunyanyasa kweli...spring inatupita bila hata a flower yani.
wanawake msizoe kutumia toys inanyambulisha K zenu.....zinasambaa na kukosa radha
Mbu!
Tukikorofishana na mchuchu tunalala mzungu wa nne sasa hii si kazi jamani? Tena hata hamna kugusana,kila mtu na kona yake ya kitanda mbaya zaidi ni 6by6..
I wish haya mapenzi yasingekuwepo muda mwingine! au ningekuwa nun..
Unafanya ngono na hamjafunga ndoa......mbayaWe acha tu tatizo distance btn us mpaka nahisi naibiwa akiwa Tz maana hii style ya kulala amekuja nayo yeye siku moja tu tumekwaruzana hee! nikashangaa ntasha wa nne style. Last year na previous tulikuwa tukimeet na kiu zetu wiki nzima mdundiko labda anikute bungeni.
Sometimes naishia kusema 'kwani imeumbwa kwa ajili yangu peke yangu' kama namna kukata tamaa. Sasa tukioana si mmoja ataingia chini ya uvungu wa kitanda ilhali kuna carpet ataona comfortable zaidi kuliko kitandani.
Ila naamini changamoto ni part of malavi davi,njia nzuri ni kusolve tatizo siyo kulikimbia/epuka.