Umekula nini mchana huu wa leo?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
Hii menu nimeikuta kwenye mgahawa nilioenda kula leo

MENU

1. Piza ya utumbo wa kuku
2. Baga ya miguu ya kuku
3. Piza ya mapupu
4. Pasta ya makongolo.

Hii ndio spesho menu ya mchana huu
 
mh... mimi nimekunywa chai mwisho wa asubuhi na mwanzo wa mchana... so sina haja tena hadi mwisho wa mchana na mwanzo wa usiku....
 
Nimefanya window shopping tu. Kesho mwisho wa mwezi nitakula ng'ombe na chapati lunch time.
 
Katavi zile shule zetu za zamani tulikuwa tunaingia asubuhi halafu tunaridi tena mchana. Ukila hii lunch yako kuna majanga mawili makubwa yatatokea.
Janga la kwanza ni kwako, hauta sinzia, ila utalala usingizi mzitoooo darasani.
Janga la pili ni kwa wenzako, utajamba na kuwachafulia hewa hadi wakome.
Suluhu itakuwa, eidha, wakutoe wakakulaze nje, au darasa liruhusiwe kwenda uwanjani kucheza.
Bujibuji nimepata hii hapa, hiyo kwenye kikombe ni togwa......

View attachment 84852
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha aah!! Hapa tahadhari zote zimechukuliwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…