Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Hiyo kitambi unaipalilia kuimaliza ni kazi ikikubali, bila shaka ukiwa unatokeza linaanza tumbo😅Breakfast…. Mtori na chapati 1
Lunch.. chips yai na fanta..
Hatuwezi tupia picha sbb kuna uzi tayari spesho wa kupost misosi
HahaHiyo kitambi unaipalilia kuimaliza ni kazi ikikubali, bila shaka ukiwa unatokeza linaanza tumbo😅
Hakiwashi eeh 😂Haha
Sa kwa taarifa yako sina kitambi cha kutokea hivyo. Pia hakiwashi, so haina noma 😂😂
Niache usinigombanishe na Lenie wangu 😅Sa unajitetea nini
We mjinga acha thread zako.za kitoto.idiot nyie majobless au vijana wa chuo hamna kazi za kufanya? Kwahiyo nikikuambia nimekula nini itakusaidia nini?Habari wanajamvi, mniwie radhi kwa swali la kizushi na la umbea ninalokwenda kuwauliza. "Umekula nini leo? Na unajifeel aje baada ya kupata hicho chochote kitu? Nani kapika, shemeji yetu ama shemeji yako? Kama umenunua, umeuziwa na nani na kwa bei ipi?
Itapendeza zaidi kama utatupia kapicha ka msosi na mandhari ya mahala unapolia / ilipolia
Iwe ni lunch, draster, dinner, drinner, fanty ama breakfast. Weka hapa, ndo pahala pake
View attachment 2819999
Karibuni sana ndugu zanguni tupate japo chajio hapa shamba
Half american sijapenda ujueSio shida zangu
Me bado navaa high waist.. na nina ujasiri mkubwa wa kuchomekea 😂
Cc Lenie njoo unasemwa huku et unavaa dera
Mpe kwanza huyo dog msosi yani anaonyesha ana njaa kakaa kinyonge sana.Habari wanajamvi, mniwie radhi kwa swali la kizushi na la umbea ninalokwenda kuwauliza. "Umekula nini leo? Na unajifeel aje baada ya kupata hicho chochote kitu? Nani kapika, shemeji yetu ama shemeji yako? Kama umenunua, umeuziwa na nani na kwa bei ipi?
Itapendeza zaidi kama utatupia kapicha ka msosi na mandhari ya mahala unapolia / ilipolia
Iwe ni lunch, draster, dinner, drinner, fanty ama breakfast. Weka hapa, ndo pahala pake
View attachment 2819999
Karibuni sana ndugu zanguni tupate japo chajio hapa shamba
Hii picha ni ya wazungu mtz hawezi kuwa na mbwa ni mrohoHabari wanajamvi, mniwie radhi kwa swali la kizushi na la umbea ninalokwenda kuwauliza. "Umekula nini leo? Na unajifeel aje baada ya kupata hicho chochote kitu? Nani kapika, shemeji yetu ama shemeji yako? Kama umenunua, umeuziwa na nani na kwa bei ipi?