RWANTANG JF-Expert Member Joined Dec 28, 2021 Posts 1,143 Reaction score 1,405 Jun 5, 2022 #1 Habari wana jukwaa. Tueleze tumekula mlo gani siku ya leo? Kwa mimi leo nilikarabati mwili kama ifuatatavyo: Asubuhi
Habari wana jukwaa. Tueleze tumekula mlo gani siku ya leo? Kwa mimi leo nilikarabati mwili kama ifuatatavyo: Asubuhi
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,797 Reaction score 7,676 Jun 6, 2022 #2 RWANTANG said: Habari wana jukwaa. Tueleze tumekula mlo gani siku ya leo? Kwa mimi leo nilikarabati mwili kama ifuatatavyo: Asubuhi View attachment 2251663 Click to expand... Asubuhi ndio umekula hizo mbogamboga!!!?
RWANTANG said: Habari wana jukwaa. Tueleze tumekula mlo gani siku ya leo? Kwa mimi leo nilikarabati mwili kama ifuatatavyo: Asubuhi View attachment 2251663 Click to expand... Asubuhi ndio umekula hizo mbogamboga!!!?
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,150 Reaction score 3,875 Jun 6, 2022 #3 usku huu nmemalza na uji wa lishe kwenye bonge la bakuli apa naingia kulala mwepesii sio kila sku kulala mbavu zmebanana kwa wali au ugal
usku huu nmemalza na uji wa lishe kwenye bonge la bakuli apa naingia kulala mwepesii sio kila sku kulala mbavu zmebanana kwa wali au ugal
RWANTANG JF-Expert Member Joined Dec 28, 2021 Posts 1,143 Reaction score 1,405 Jun 6, 2022 Thread starter #4 Joline Kato said: Asubuhi ndio umekula hizo mbogamboga!!!? Click to expand... Ndio mchana nimeshuka na ndizi mhaya
Joline Kato said: Asubuhi ndio umekula hizo mbogamboga!!!? Click to expand... Ndio mchana nimeshuka na ndizi mhaya
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,797 Reaction score 7,676 Jun 7, 2022 #5 RWANTANG said: Ndio mchana nimeshuka na ndizi mhaya Click to expand... Ss hiko ndio kifungua kinywa?
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 7,262 Reaction score 21,460 Jun 7, 2022 #6 Joline Kato said: Ss hiko ndio kifungua kinywa? Click to expand... Joline Kato umeamkaje dear!
RWANTANG JF-Expert Member Joined Dec 28, 2021 Posts 1,143 Reaction score 1,405 Jun 9, 2022 Thread starter #7 Mbeba Lawama said: usku huu nmemalza na uji wa lishe kwenye bonge la bakuli apa naingia kulala mwepesii sio kila sku kulala mbavu zmebanana kwa wali au ugal Click to expand... Sawa mkuu
Mbeba Lawama said: usku huu nmemalza na uji wa lishe kwenye bonge la bakuli apa naingia kulala mwepesii sio kila sku kulala mbavu zmebanana kwa wali au ugal Click to expand... Sawa mkuu