Sawa sawa.Wito namba mbili ni kumpenda Mwenyezi Mungu kwa akili zite, nguvu zote na kwa moyo wote. Pia kumpenda jirani kama niipendavyo nafsi yangu.
Wote tukiweza kuyafanya haya kikamilifu, hakika dunia itakuwa ni Paradiso chini ya jua.
Kwa hiyo mwizi au malaya nae anaishi kusudi lake?Lakini kutokana na mfumo wa maisha, kutokana na dhana ya kwamba mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Kila binadamu amepewa fikira, uwezo, nguvu, muda, utashi nk vinavyomsaidia kufanya jambo lolote.
Hivyo mwanadamu hutengeneza au kufanya jambo ambalo linamsaidia kulipa maana kusudi la kuhishi kwake kwa vitendo.
Sasa yeye kama ameona hiyo ndio mission yake. Kwa watu wanaoamini kwa Mungu wa Israel tutakwambia, hapana. Huyo haishi katik akusudi lake bali amelikiuka agano. Lakini hiyo ni kwa mujibu wa imani ya upande wetu. Huenda labda kuna upande mwingine wanaamini kwa kufanya hivyo wanahishi katika kusudi.Kwa hiyo mwizi au malaya nae anaishi kusudi lake?
Inafikirisha sana mkuuSasa yeye kama ameona hiyo ndio mission yake. Kwa watu wanaoamini kwa Mungu wa Israel tutakwambia, hapana. Huyo haishi katik akusudi lake bali amelikiuka agano. Lakini hiyo ni kwa mujibu wa imani ya upande wetu. Huenda labda kuna upande mwingine wanaamini kwa kufanya hivyo wanahishi katika kusudi.
Naishi ndani ya muoaji😛Au sio...sasa hilo si nikisudi la muoaji!? Au na wewe unaishi humo?
Kwa hiyo mwizi au malaya nae anaishi kusudi lake?
Ok mkuuAs long as kuna watu wanategemea huduma yake yawezekana hilo ndilo kusudi lake.
Tofautisha, kuna kusudi la Mungu la kuwepo kwa mwanadamu hapa duniani pia kuna kusudi la mwanadamu mwenyewe.
Nimejibu kwa mujibu wa swali lako.
Kama naliona li Kiranga lilivyonuna!Nyuzi kama hizi Atheists wanapita kimya kimya kama wanaaga maiti.