Umejifunza nini kwenye Simba Super Cup

SIMBA SC ni timu ya mpira wa miguu haswa na mwaka huu anabeba kombe la ligi kuu pamoja na FA.Kimataifa anafika mbali pia,Hata madeko Fc a.k.a Utopolo wakiamua kuiga itawasaidia.
 
Simba kwa kiasi ka study jinsi wa "Sudan" wanavyocheza na uwezo wao (El Merreikh).
Pia As Vita (Tp Mazembe)...imewaongezea kujiamini..hii ilikuwa ni contingecy plan baada ya Coach Sven kuondoka,kumwonesha new coach aina ya team aliyinayo na wapi pa kufanyia kazi mapema kujiandaa na champions league na ligi kuu..naona imemsaidia saaana coach,pia mashabiki tumepata confidence na maamuzi sahihi ya board,kudos!
 
Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi
Timu zotezilijitahidi kuficha mbinu zake halikadhalika Simba.
Simba haikuchezesha wachezaji wake wote wa first 11 ,, akina Kagere , Kapombe, Manula, Boko, Mkude nk.
Kila timu itakuwa tofauti watakapokutana kwenye mashindano.
Japo watakuwa angalau wamewasoma baadhi ya first 11 ambao kila timu iliwatumia.

Timu zote zimepata wasaa wa kupasha misuli na wenzao wa champions league kabla ya league yenyewe kuanza.

+ve
Maoni bila ushabiki.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mabara ndio Nani?? Ukiwa Utopolo na akili inakuwa Utopolo!
1.wanasimba wameichoka timu yao. Simba. Sio kwenye ligi au Hilo bonanza hakuna washabiki wakutosha Kama misimu miwili ilopita
2.uongozi wa Simba ungezialika tu timu hizi lakini kusema Kuna "super cup" hicho ni kichekesho tu Ili mtu apewe kombe walau acheze mechi 3.
3.Yanga Ndio timu yenye mashabiki wengi zaidi Tanzania, pia Yanga wanajua kupromote vitu vyao. Simba haijui promosheni tena wasithubutu kumwacha Mabara, anafanya kazi kubwa Sana, angekuwa mwingine Hawezi kabisa.
 
Nimejifunza ubunifu wa pisi kali C.E.O Barbara ni wa kiwango cha juu sana.Simba tutarajie mambo mazuri siku za usoni.
Tofauti na yule aliechukuliwa na Uto kama mshauri wa kuwashauri mataahira.
 
Simba watatetea ubingwa wa ligi na wa FA.
club bingwa watakomea robo fainali kama ilivyokuwa msimu wa 2018/2019
Mtatetea labda ubingwa wa Mabonanza! Bingwa wa mwaka huu tayari anajulikana. Na hata huko kwenye makundi, sidhani kama mtafika kokote.

Mtaishia tu kuwa mabingwa wa hayo mabonanza mnayo jiandalia wenyewe.
 
Mtatetea labda ubingwa wa Mabonanza! Bingwa wa mwaka huu tayari anajulikana. Na hata huko kwenye makundi, sidhani kama mtafika kokote. Mtaishia tu kuwa mabingwa wa hayo mabonanza mnayo jiandalia wenyewe.
Una roho ngumu sana. Wenzako wameshanusa harufu, wanatoa matamko kila siku

1614800230566.png
 
Nimegundua wapinzani wameficha mbinu zao kuogopwa kusomwa na wapinzani wao kwenye grp stage. Simba kama jina mbumbumbu fc wameziweka zote wazi cheza na alama za nyakat mtani. Ngoja wenyewe wakaje toka kwa nchi ya falao jitu katiri wakaje kukupubiza nyingi
OK jidada livaa madela
 
Kupata vichekesho hivi tunatuma kwenda namba ipi?
 
Back
Top Bottom