UMEJIANDAAJE... UKUMBUSHO

UMEJIANDAAJE... UKUMBUSHO

Kitabu kina sala nzuri Sana kile sema tu haya mafrekeche ya dunia ndo yanafanya tusisali sikuhizi
Umeona eeee.
Ila mie naamini katika sala aisee.
Kuna siku nilisali kuomba jambo...nikaoteshwa kisha likatimia.
Jamani....sala kweli ni nusu ya kuongea na muumba.
Mawaridi ni kizuri sana.

Hivi Cathedral bookshop bado ipo?
 
Pale nyuma St Joseph? Ipo.
 
Yeah....
Mungu anisamehe.
Nimeiba sana vitabu pale wakati niko Forodhani primary.
Ila vilinifanya nimjue Mungu.
Japo nilikuja ungama baadaeee
Hahaaa hiyo tunaita dhambi takatifu. Ukiwa na misingi mizuri ya sala na ukajua jinsi ya kupractice huwezi feli maisha completely.
 
Yeah...sometimes Mungu uhukumu kutokana na aina ya makosa.
Ila kuna makosa mengine ni kupitia mafunzo ili umtukuze yeye.
 
Sure. Wewe unafkiri hata ile mifano ya Yesu aliyokuwa anaitoa jwa wanafunzi wake yote ni ya ukweli. Mingine ilikuwa sound kukazia neno...
 
Sure. Wewe unafkiri hata ile mifano ya Yesu aliyokuwa anaitoa kwa wanafunzi wake yote ni ya ukweli. Mingine ilikuwa sound kukazia neno...
Yes.
Mara nyingi tunatakiwa tutanue ubongo wetu ili kuweza kupambanua mambo kwa nyanja mbalimbali.
Na si kila linalopita mbele yetu huwa ni jema.
Na maisha ni kuishi kwa mifano...japo si mifano yote yapaswa kuigwa.
 
Poa. Haya tuuwache uzi uendelee Mana mtoa uzi ametaka tukopi na kupesti huu uzi kwenye magrup mengine ili kupeleka ujumbe duniani kote. Tusije badili maana. Was nice to quote and be quoted by u. Chiaz
 
Chiaz....
 
Back
Top Bottom