Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 11,096
- 33,493
Baba ambaye amekomalia bikra na haelewi inamfaidisha wapiHuyu ni baba wa ajabu kabisaaa aisee ,
Baba ambaye amekomalia bikra na haelewi inamfaidisha wapiHuyu ni baba wa ajabu kabisaaa aisee ,
😅😅 ukishangaa ya filauni ndio hayo sasaBaba ambaye amekomalia bikra na haelewi inamfaidisha wapi
Mabinti wengi yanayowasibu ndoani huwaambia mama zao wa kuwazaa anaamini mama yake ndio msiri wake kwa wanaume wengi hufa na tai shingoni huwa tunajihisi udhaifu kusema yanayojiri ndoani sasa kwa wamama wengi huwapendelea mabinti zao na kuamini kuwa hadi anamwambia basi yamemfika ya kweli na hadanganyiKwa kawaida kama unapenda mahusiano yako ya ndo yadumu mkeo akikosea msemee kwao na yeye akusemee kwenu! Ila ukitaka kuharibu kila kitu peleka makosa ya mkeo kwenu! Utajenga chuki kiasi kwamba ata siku mmeelewana bado kwenu watakuwa na kinyongo! Sasa kama huyo atapeleka taarifa za uongo kwao tayari hapo ni mgogoro wa kinafsia unaanza kujengwa! Ata siku umempiga kofi tu wanaibua na ya tangu zamani!
Unasema kweli kabisa, ila wengi hawajui tu wanavyotengeneza sumu kwenye hizo ndoa zao, makosa madogo madogo myaongee, communication ndio inajenga mahusiano yaendelee kuimarika, tofauti na hapo bora ukae ndani ulie ukichoka unyamaze kuliko kuyapeleka nje sijui nyumbani.. utakwama!Mabinti wengi yanayowasibu ndoani huwaambia mama zao wa kuwazaa anaamini mama yake ndio msiri wake kwa wanaume wengi hufa na tai shingoni huwa tunajihisi udhaifu kusema yanayojiri ndoani sasa kwa wamama wengi huwapendelea mabinti zao na kuamini kuwa hadi anamwambia basi yamemfika ya kweli na hadanganyi
Na malezi yanachangia piaSahihi kabisa ila hayo ni yakufundinshwa kwa wanandoa wapya na ni kazi ya wazazi
Sheria ya kwanza wakati tunaingia kwenye mahusiano ilikuwa ugomvi wetu tunasuluhishana wenyewe wawili basi...na imekuwa hivyo miaka yote.Kwa kawaida kama unapenda mahusiano yako ya ndoa yadumu mkeo akikosea msemee kwao na yeye akusemee kwenu! Ila ukitaka kuharibu kila kitu peleka makosa ya mkeo kwenu! Utajenga chuki kiasi kwamba ata siku mmeelewana bado kwenu watakuwa na kinyongo! Sasa kama huyo atapeleka taarifa za uongo kwao tayari hapo ni mgogoro wa kinafsia unaanza kujengwa! Ata siku umempiga kofi tu wanaibua na ya tangu zamani!
Ndivyo ilivyo sa sijui wengine hawaelewagi wapi! Mtu anamsimlia mara dadaake mambo yenu ya ndani wakati yake pia huko yamemshinda!Sheria ya kwanza wakati tunaingia kwenye mahusiano ilikuwa ugomvi wetu tunasuluhishana wenyewe wawili basi...na imekuwa hivyo miaka yote.
Huko upande wa pili ni kupeleka taarifa ya upendo na furahaa tu.
Si ndio hapo!Kila mtu ataishi maisha yake , Mimi maisha ya kuishi kwa kufuatilia watu mzima siyataki