Ccm wanadhani makelele yao na hila zao za kupika tafiti fake, zitainfluence hadi kwenye sanduku la kura. Subirini tuwanyoe wakavu wakavu. Mbona mnahaha?
Mrudisheni kwanza Yericko Nyerere, aje awaumbue hapa!.
Ila mimi kwanza NITAMSHUKURU MUNGU KWA UKOMBOZI, NA NITA IDEDICATE TANZANIA YA UKAWA KWA MUNGU AISHIYE MILELE!.
Hapo ndipo maccm na dunia nzima watakapoiona Tanzania mpya na kukiri kwamba Yuko Mimi Niko ambaye Niko Aliyekuwepo tangu mwanzo na Hatakuwa na Mwisho atawalaye Juu na kumiliki kati kati ya Wanadamu.