Kamili Gado
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 386
- 97
Ndiyo maana nikakwambia sio kila taarifa lazima wewe uione kwa urahisi. Taarifa nyingine zimekuwa coded, labda kukusaidia tu kama una kitambulisho hicho sasa hivi geuza upande wa nyuma.
Utaona maandishi: THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA CITIZEN IDENTINTY CARD, chini ya hapo kuna tarakimu 20. Tarakimu 8 za kwanza zinaonesha mwaka wako wa kuzaliwa.
Kuhusu kutokuwa na jinsi, sio kweli usipotoshe umma kwa kuwa mara baada ya "jina la mwisho" pale chini, jinsi ya mmiliki wa ID ipo.
uko sahihi kabisa mkuu, huyu KUKU anabisha vitu asivyovijua kabisa.
Wadau hivi huu mchakato wa viatmbulisho vya taifa ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na tukashudia viongozi waandamizi wa serkali wakigawiana umeishia wapi? Mara ya mwisho ulikuwa Dar na Zanzibar baada ya hapo ikawa kimya kulikoni?
Tusaidieni kufahamu kwa mnaojua kinachoendelea.
Mkuu mbona zoezi la ugawaji linaendelea, kama uliandikishw na bado hujapata kuwa mvumilivu tu zamu yako itafika. Kwa sasa wameanza na watumishi wa umma hasa wa DAR ES SALAAM.
Hahahahahahahaha... Mkuu tumsamehe tu maana hakujua alitendalo, alifikiri wote humu ni mbumbumbu wakati tayari watu wanamiliki hizo nyaraka.Ndiyo maana nikakwambia sio kila taarifa lazima wewe uione kwa urahisi. Taarifa nyingine zimekuwa coded, labda kukusaidia tu kama una kitambulisho hicho sasa hivi geuza upande wa nyuma.
Utaona maandishi: THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA CITIZEN IDENTINTY CARD, chini ya hapo kuna tarakimu 20. Tarakimu 8 za kwanza zinaonesha mwaka wako wa kuzaliwa.
Kuhusu kutokuwa na jinsi, sio kweli usipotoshe umma kwa kuwa mara baada ya "jina la mwisho" pale chini, jinsi ya mmiliki wa ID ipo.
uko sahihi kabisa mkuu, huyu KUKU anabisha vitu asivyovijua kabisa.
Cha muhimu ni kuiomba serikali kuharakisha utoaji wa vitambulisho hivyo na kwa wengine.
Mkuu ni kweli kabisa. Tuko pamoja.mkuu grafani, nimecheki nambari za mwanzo ni kweli ni mwaka wangu wa kuzaliwa ila umeandikwa kinyumenyume, year,month,date. thanks kwa maelezo yako.
Tanzania zaidi ya uijuavyo watu wameshapiga dili hapo wanasubiri kuja na single nyingine.
na nasikia mradi wa vazi la taifa wamepewa ruge na kusaga hatariiii hii