Umeielewaje?

Umeielewaje?

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,140
Reaction score
2,388
1ff7624e20140e113a1be8076727dac6.jpg
 
Ayaa!!!ameacha mali palepale alipokuwa!!!
Nitarejea kwani tayari ninaona nyotanyota.
 
Bahati ya mwenzio isikutoe roho ukaacha mambo yako.
 
Usiige maisha ya mtu mwingine, hata kwa lifestyle yako waweza kufanikiwa
Maisha hayana formula
Ni kweli kila mtu na bahati yake, ukiona mwenzako kafanikiwa ana riziki yake nawe una yako na siku zote hazifanani.
 
Bado elewa
Yaani thithiem imekuwa na tamaa ya madaraka imeamua kufuata siasa chafu kwa kuiga nchi kama Uganda,Rwanda,Congo etc na kuacha siasa swaafi zilizosimamisha TAIFA na zilizokuwa mfano wa kuigwa duniani.
 
Yaani thithiem imekuwa na tamaa ya madaraka imeamua kufuata siasa chafu kwa kuiga nchi kama Uganda,Rwanda,Congo etc na kuacha siasa swaafi zilizosimamisha TAIFA na zilizokuwa mfano wa kuigwa duniani.
Kwaakili yako hyo hata mkeo akienda kugongwa na mwanaume mwingne utakuwa unailaumu ccm
 
Hapo ulipo ndio riziki yako ilipo simama imara ingeza juhudi ya kazi yako unayoifanya mafanikio unayohapohapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom