Hivi ni lini mtaacha kulalamika nyie majitu? Dunia uwanja wa fujo, dunia tambara bovu unadhani hawa wahenga walikurupuka?? Zubaa mkeo jirani, bosi wako, rafikiyo anambeba...kama nchi una madini tele (mfano Congo) halafu umezubaa wajanja (akina Mr tall na rafiki yake kibabu) wanazoa madini.View attachment 1694365
Hawa jamaa ni wazuri sana kukazania afrika lolote kwenye mapungufu.ila wao uwezi kusikia makosa kwao
Hapo ni ofisini au? Anatoa mafunzo ya uelimishaji rika?View attachment 1694365
Hawa jamaa ni wazuri sana kukazania afrika lolote kwenye mapungufu.ila wao uwezi kusikia makosa kwao
😂😂😂😂wanataka tuone hayo mambo ya kutumia dildo ni Mambo ya kawaida.NWO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka kuonewa huruma,dunia hii sio sehem ya watu dhaifu hata siku moja,this is battle for survivor and only the stronger will rise and shine,ukiwa weak hakuna atakayekuonea huruma..Hivi ni lini mtaacha kulalamika nyie majitu? Dunia uwanja wa fujo, dunia tambara bovu unadhani hawa wahenga walikurupuka?? Zubaa mkeo jirani, bosi wako, rafikiyo anambeba...kama nchi una madini tele (mfano Congo) halafu umezubaa wajanja (akina Mr tall na rafiki yake kibabu) wanazoa madini.
Kama una gesi, sijui dhahabu halafu unakenua kenua tuu wajanja wanakuingiza mikataba feki... Kiufupi hapa duniani hakuna cha mjomba wala demu wa bure...