UMEGUNDUA NINI HAPA

Wakati wengine wana ile Natural Confidence & Power authority wengine wanajitahidi kuzitengeneza (angalia body language zao toka ukaaji, ukutanishaji mikono, tabasamu zao even uangaliaji wao).
Ni kama kuna Wasaili na Wasailiwa.
 
Nimekutag kutokana na ule ubishani wa Malcolm anaposema kwamba sisi na wazungu ni nature ndio iliyotutenganisha na kuwafanya wao kuwa na akili zaidi, ona hapo sasa hao wa Kenya wakitoka hapo ukiwauliza mmezungumza nini hawana kumbukumbu lkn wenzetu wananote kila kitu

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
ukumbi mzima una ulinzi wa D. C lakini wa NAIROBI amna!!! ! what's wrong even wa mpambe wa rais kenyeiii hamuna? ?? ??? halooooooo
 
ukumbi mzima una ulinzi wa D. C lakini wa NAIROBI amna!!! ! what's wrong even wa mpambe wa rais kenyeiii hamuna? ?? ??? halooooooo
Halafu wao wakija kwetu wanataka kujilinda wenyewe kila kona kweli tunadharaulika

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…