Umegundua nin hapa???

- Na + zote zinatumika
Mf; a) 6 - 4 = 2
b) 6 + 4 = 10
Unaweka majibu yote kwa pamoja yaani 2 na 10 so jibu ni 210
 
Unajumlisha(addition)tarakimu mbili za kwanza , then unatoa(subtraction) . Kuandika jawabu , jibu la kutoa linaanza then la kujumulisha linafuata katika kutoa jibu lote kaka lilivyo kwenye hesabu yako
sawa sawa mkuu
 
Mkuu donlucchese nikahisi nimerudi kule kwenye basics of computer ambapo
0 0 = 0
1 0 = 1
1 1 = 10
10 1 = 11
11 1 = 100
Nikikumbuka haya makitu ya binary huwa nacheka sana!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha that was tricky:
(6-4=2),then (6+4=10) kwahio ndo kapata 210
(9-2=7),then (9+2=11) kwahio jumla 711
nakuendeleza mtiririko huohuo mpaka mwisho
 
ha ha ha that was tricky:
(6-4=2),then (6+4=10) kwahio ndo kapata 210
(9-2=7),then (9+2=11) kwahio jumla 711
nakuendeleza mtiririko huohuo mpaka mwisho
yes mkuu, umepatia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…