Umegundua mpenzi wako amekudanganya unafanyaje?

Shankupe

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
15
Reaction score
3
Hello members wa MMU,
Nina mpenzi wangu tunayependana kwa dhati sana na tuna malengo ktk future yetu. Juzi kati aliniaga anasafiri kidogo nje ya mkoa na nikamwelewa tu kivizuri kwa vile alikuwa anaenda kupumzika kidogo.Hazikupita siku kadhaa nikapata habari za uhakika kutoka kwa ndugu yake mmoja kuwa nimedanganywa,mkoa alionambia anaenda inasemekana hajaenda huko na badala yake ameenda sehemu tofauti kabisa na aliponielezea.Nimekaa nikatafakari sana nikashindwa kupata jibu.Plz naomba msaada wenu wa mawazo wana JF.
 
ah pole hapo no mapenzi tena....wee demu au dume?
umbwage tuu huyo
 
Hello members wa MMU,
Nina mpenzi wangu tunayependana kwa dhati sana na tuna malengo ktk future yetu. Juzi kati aliniaga anasafiri kidogo nje ya mkoa na nikamwelewa tu kivizuri kwa vile alikuwa anaenda kupumzika kidogo.Hazikupita siku kadhaa nikapata habari za uhakika kutoka kwa ndugu yake mmoja kuwa nimedanganywa,mkoa alionambia anaenda inasemekana hajaenda huko na badala yake ameenda sehemu tofauti kabisa na aliponielezea.Nimekaa nikatafakari sana nikashindwa kupata jibu.Plz naomba msaada wenu wa mawazo wana JF.

Ya kawaida tu hayo, sometimes watu wanahitaji space kidogooo!! Usijiumize kichwaal endeleeni kupulizana!
** inaonyesha una wivu kweli kie kie kie kie kie

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Pole sana. Kudanganyana kwenye mapenzi ni jambo la kawaida. Kila ambapo mwenza wako anapokuaga kuwa anasafiri kwenda sehemu basi akilini mwako unatakiwa uache walau ki-asilimia fulani cha uwezekano wa kuwa huenda umedanganywa.

Wewe unaagwa anaenda sijui Mbeya au Kigoma halafu na wewe unaamini mazima? Acha hizo bana. Binadamu kwa asili ni waongo waongo. Stuka!
 
Hii story ingekamilika kama ungetuambia umehakikisha kweli hakwenda huko alikokwambia, na majibu alokupa baada ya kumuuliza!!!! Hapa chochote tutakachokushauri kitakuwa biased!!!!
 
How do you feel?
Have you asked him?
Suppose akishilia kuwa hajakudanganya?
Is it the 1st time kuhisi umedanganywa?

Hello members wa MMU,
Nina mpenzi wangu tunayependana kwa dhati sana na tuna malengo ktk future yetu. Juzi kati aliniaga anasafiri kidogo nje ya mkoa na nikamwelewa tu kivizuri kwa vile alikuwa anaenda kupumzika kidogo.Hazikupita siku kadhaa nikapata habari za uhakika kutoka kwa ndugu yake mmoja kuwa nimedanganywa,mkoa alionambia anaenda inasemekana hajaenda huko na badala yake ameenda sehemu tofauti kabisa na aliponielezea.Nimekaa nikatafakari sana nikashindwa kupata jibu.Plz naomba msaada wenu wa mawazo wana JF.
 
Aliyenieleza ni ndugu yake wa karibu sana na hapatikani kwa simu saiv.I feel bad kufanywa kama mtoto mdogo.ni mara ya kwanza amenidanganya kweli
 
Pole sana kudanganywa ni jambo la kawaida in love!! Akikwambia ki2 usiamini asilimia zote! Mpe 65% kwa kila jambo,atakalokweleza, hata my gf nampenda sana! Ila huwa simwamini kwa kila jambo,!
 
Back
Top Bottom