King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,130 Reaction score 98,531 Feb 20, 2012 #1 "Kila nikitaka kukuyombayomba,wewe unamrashani,sasa nimekukamata lazima nikukazimzumbwi." Hii ilikua maneno ya katuni ya zamani sana niliiona kwenye gazeti naona la uhuru au mzalendo au mfanyakazi.
"Kila nikitaka kukuyombayomba,wewe unamrashani,sasa nimekukamata lazima nikukazimzumbwi." Hii ilikua maneno ya katuni ya zamani sana niliiona kwenye gazeti naona la uhuru au mzalendo au mfanyakazi.
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,563 Reaction score 7,448 Feb 20, 2012 #2 Haah Lingua imechakachuliwa. ngoja wenyewe waje...mi nmetoka kapa