Umeelewa nini hapa

kocha ndiye anajua mwelekeo wa match
kuna beki hapo atolewe anaweza kufungisha kama yanga na zeco
🤣 🤣 🤣
 
Yaani Masoud ni hatari yaani anataka kusema substitutions za mawaziri na wakuu wengine wakiisha sub rais utapata wapi wengine?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani Masoud ni hatari yaani anataka kusema substitutions za mawaziri na wakuu wengine wakiisha sub rais utapata wapi wengine?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atapata kwa kuwatumia wapinzani!
 
Kwa mara nyingine tena msanii Kipanya ametuhamisha kutoka kwenye malumbano ya wahujumu uchumi na kutupeleka kwa mchina wilayani Temeke.

Binafsi nimeshindwa kumsoma huyo kocha na msaidizi wake nini wana bishana na jibu la mwisho unalo wewe ndugu mwana JF.
Je hiyo mechi ni kati ya nani na nani?
 
Sub zimezidi, kocha anaonekana kupagawa na mechi inayoendelea ,mpaka sasa anaingia mchezaji mwenye namba 276![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…