bonna
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 855
- 520
Je? Umechoka kufanya installation za program application nyingi (zikiwemo OS) kila mara .., basi usipate tabu.
Nitajie list ya program zooote unatohitaji mara kwa mara.., mimi nitazikusanya na kukutengenezea wewe Setup moja tu.., ambayo uki run hiyo....program zako zote zitakua installed bila wewe kufanya kitu kingine chochote..
Gharama ni nafuu sana kutegemea na ukubwa wa List yako..na ukubwa wa programs zilizomo kwenye list.
tuma email kwenda usermyuser@yahoo.com nitakutengenezea sample ukihitahiji. (xml na scripts zote zinabaki kwangu)