Huyo mpenzi wako hamuwasiliani?
Yeye anasemaje kuhusu jibu ulilopewa?
Kama kuna aliyekuwa faster kuliko wewe basi kubali matokeo tu.
Likuepukalo una heri nalo.
Kuachana sio kirahisi rahisi kama mnavodhani,
we jamaa kama unampenda mpe mimba ndo watajua umewahi au umechelewa
otherwise uwe nawe humuhitaji tena
huyo ni mwanamke sio biashara ya kiwanja
Kuachana sio kirahisi rahisi kama mnavodhani,
we jamaa kama unampenda mpe mimba ndo watajua umewahi au umechelewa
otherwise uwe nawe humuhitaji tena
huyo ni mwanamke sio biashara ya kiwanja
Wonders shall never end. Mi.nahisi ungekuwa unampenda haswa haya mambo ya posa yasingezingua ungemchukua juu kwa juu na mimba juu (kama una uwezo wa kumpa) kisha tuone hiyo deadline yao wangempa nani?
ndo ujue ulipangwa foreni,na yawezekana vile visababu ulikuwa unatizamiwa kama umekizi vigezo,watakuwa wamekuona hujakizi vigezo ndo wamepokea kwa mwenye vigezo nawe kuambiwa umechelewa,pole mpendwa!