Miezi mitatu kuanza semester? Chuo gani hicho?
Kwani biashara ya ufundi simu uliyokuwa unakusanya mtaji na manengelo vipi.Maisha ni changamoto juu ya changamoto.
Nilipostpone masomo kwa sababu ya kukosa ada sasa semester imebaki miezi mitatu ianze lakini mpaka sasa hakijaeleweka bado.
Msaada please wa KAZI za muda mfupi nijikusanye kusanye angalau nipate pa kuanzia.
Napatikana dar es salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manengelo alisema hakupokea pesa yoyote japo mwanzoni aliniambia walichanga watu wachacheKwani biashara ya ufundi simu uliyokuwa unakusanya mtaji na manengelo vipi.
Tafuta 40,000/= kahonge kiwanda X pale pugu road kwamwezi utapata 180,000/= kwa miezi mitatu una 450,000/= unaenda chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Drop that shit school Boss, faida ya elimu iliyobaki ni kukupa EXPOSURE basi na wewe EXPOSURE ushaipata naamini msomi yoyote asiyekuwa JF anayo EXPOSURE ya ulimwengu unavyoenda.Muda umebaki mchache mno.
Jamani Mimi Nina shida nimejiunga na masomo ya qt lakini hesabu zinanipiga chenga,je kuna MTU yuko mitaa ya kunduchi awe anakuja kunifundisha? Wanatumia kitabu cha form one na two,then tutalipana
Sent using Jamii Forums mobile app