fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 634
- 858
Mimi binafsi mataulo makubwa nimeacha tumia miaka ya adolf hitler nikiwa form 2
Nakumbuka ilipiga mvua kubwa mno nikachelewa kushuka bwenini nikakuta mzigo umetupwa kitandani kwangu akati nilikua nimeninginiza kweny chuma ya kitanda
Kuunyanyua mzigo nikakut unarangi ya chocolate kumbe ni tope (sio kinyesi).
Basi nikalifanya dekio na kwanzia apo najifutia mbinu mbadala
Naisigi alie nifanyia vile ni @pascalmayala maana nilikua nalala jirani nae na nilimkuta kashauchapa usingizi sa sijui alikua ananizugia
Wewe shule za bweni zimebadili utaratibu gani wa maisha yako ?