Umeacha lini tumia taulo kujifunika kwenda bafuni?

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Mimi binafsi mataulo makubwa nimeacha tumia miaka ya adolf hitler nikiwa form 2

Nakumbuka ilipiga mvua kubwa mno nikachelewa kushuka bwenini nikakuta mzigo umetupwa kitandani kwangu akati nilikua nimeninginiza kweny chuma ya kitanda

Kuunyanyua mzigo nikakut unarangi ya chocolate kumbe ni tope (sio kinyesi).

Basi nikalifanya dekio na kwanzia apo najifutia mbinu mbadala

Naisigi alie nifanyia vile ni @pascalmayala maana nilikua nalala jirani nae na nilimkuta kashauchapa usingizi sa sijui alikua ananizugia

Wewe shule za bweni zimebadili utaratibu gani wa maisha yako ?
 
Sijawahi vaa taulo kwenda bafuni hua matumizi yake ni kujifutia tu kisha naliwwka pending

Huwa nashangazwa sana na watu wanaovaa mataulo sijui wana confidence gani. Nilishangaa nimemtembelea mchizi maskani kwao anaenda kuoga yuko tumbo wazi kavaa taulo na maza yake yuko around na wala hastuki
 
Mkuu mama kamchambisha sana labda vuzi tuu ndo litakua jipya kwa mama kuona
 
Niliacha kabla sijafikisha hata miaka 8, lakini baada ya hapo sikuwahi kujifunga taulo tena.
 
Back
Top Bottom