Umbali kati ya wapenzi ni chachu ya usaliti

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
251
Reaction score
55
Ni hali ya kawaida kwa binadamu hasa mwenye mwili, hisia, akili, macho kuhitaji faraja ya mpenzi wake muda ukifika, lakini kama yuko mbali saana nawekiasi cha kuhitaji nauli au kuandaa safari ili kumfuata popote alipo ina kuwa kama kikwazo, hivyo kwa utashi na uzoefu wa watatifi , inaonyesha kuwa mpenzi aliye mbali na mpenzi wake ni rahisi kufanya maovu ya usaliti ili kujikimu.

Hii inkuwa applicable kwa wote mwanaume na mwanamke. Hata wasanii wanasema sana na kusisitiza kuwa umbali baina ya wapenzi chaweza kuwa ni chanzo cha maumivu hata kifo cha hisia baina ya wapenzi.

Hasa ukizingatia fimbo ya mbali haiui nyoka , ngoja ngoja yaumiza tumbo, mkono mtupu haulambwi. Ukisalitiwa na mpenzi wako aliyepo chuo, mkoa mwingine, nchi za nje pia usishangae wala kujiua ndio fomula ya mapenzi kuwa umbali ni kitanzi.

Inakuwa ngumu kwa mtu kukidhi mahitaji ya mwenzake hasa kwa mawasiliano ya mara kwa mara ili kumfanya akuone upo kwani siku utakayo acha kuwasiliana nae hata kwa masaa huibua ugonvi wa hatali kati ya wapenda nao na shutuma za kuzidi kwa mwenza wako.

Lakini swali ni hili nani sasa awe mpenzi wako na awe umbali au ukaribu wa kiasi gani nawe ili mfike mbali ikibidi zile ndoto zenu za maandishi na mitazamo zitimie!!!??
 
Mimi naona kwa wapenzi hakuna tatizo..ila ikifika kwenye ndoa umbali kwa kweli haupendezi.
 
Kuna Mdada m1 humu alisema hivi:
"....MPENZI WAKO AKIDUU NA MTU MWENGINE HAIMAANISHI HAKUPENDI!!"
Kutamani SI kupenda! Ukijibanabana sana utateseka! Just do it reasonably!!!!
 
Mazoea hujenga tabia, bingwa wa ku cheat alianza kwa kusema ngoja nijaribu si mara moja...kuja kustuka kampa kila mtu
 
Msistizo Mkuu!
"...Just Do It reasonably..."
...
Umbe na wewe toa mtazamo wako!
Ungefanyaje lingekutokea hili?

chovya*2 umaliza buyu la asali'ukiusudu kamchezo na mimba zisizotarajiwa upatikana hapo,kubadilika kitabia na hata kupoteza mawasiliano na ndio chanzo cha wa2 weng kuachana na kuish na m2 asie chaguo lake.
 
Msistizo Mkuu!
"...Just Do It reasonably..."
...
Umbe na wewe toa mtazamo wako!
Ungefanyaje lingekutokea hili?
Mkuu ndio nakabiliana nalo ilo hivi sasa, niko miles and miles frm Tz na mchuchu nimemwacha Tz!!nilimwambia aki cheat tu imekula kwake....so kila siku tunajaribu kuwasiliana na kufarijiana!Bt am serious labda nisijue,bt Tz ndogo sana alafu dunia ya leo haina siri ya zaidi ya mtu mmoja.
 
Ingawa haujasema ni vipi unakabiliana nalo!

Pole sana kwa tatizo lako!
Hongera sana kwa uvumilivu wako! Mungu abariki ndoa/mapenzi yenu!
...
Kumbuka kuna watu wanamihemko ya kungonoka si mchezo! Bila ya kupata njia nyengine (useful) Uvumilivu unapotea kabisaaaa! Ingawa haiingii akilini kumwambia mwenzie "NIMESHINDWA!"
...
Fimbo ya mbali haiui nyoka!!!!

Mkuu Maswala ya kuonja wanaume wengine hawaonjeki so uvumilivu unahitajika...mi mwenyewe najijua ukijaribu tu, basi nitakumega kila siku hadi utasahau kama una mtu, waliojaribu wanajuta!!Kingine kuna watu wana ile tabia ukimpa leo next tym akiomba lazima umpe ukimnyima ni kesi, kila mtu atajua na utachafuliwa, so mabinti wengi waliojaribu kuonja nje,hapo wanakuaga watumwa kuogopa kutaangaziwa kila akiombwa atatoa, jst imagine ndio unaenda kuoa binti uyo!kamchezo kataendelea kwa mkeo....so I told her if u wanna cheat or try with som1 bcoz am far away, u better go forever.
 
Hahahaaa!
Nimekusouma mazeeeee!
Kweli kabisa ni ngumu sana ke kufanya hivyo! Na akifanya kunauwekano mkubwa wa kutokea ulichoongelea!
...
Nahisi sisi me ndio wa kuonja reasonably!!!
Sikubali mpenzi wangu afanye hivyo!!!! Hahahahaaaaa! Si kila Muamba ngoma ngozi huvutia kwake!!!!!

Mkuu Maswala ya kuonja wanaume wengine hawaonjeki so uvumilivu unahitajika...mi mwenyewe najijua ukijaribu tu, basi nitakumega kila siku hadi utasahau kama una mtu, waliojaribu wanajuta!!Kingine kuna watu wana ile tabia ukimpa leo next tym akiomba lazima umpe ukimnyima ni kesi, kila mtu atajua na utachafuliwa, so mabinti wengi waliojaribu kuonja nje,hapo wanakuaga watumwa kuogopa kutaangaziwa kila akiombwa atatoa, jst imagine ndio unaenda kuoa binti uyo!kamchezo kataendelea kwa mkeo....so I told her if u wanna cheat or try with som1 bcoz am far away, u better go forever.
 
Mkuu tuambie bas! Unafanyaje ikikutokea hali kama hiyo? Or Unavumilia vipi?

chovya*2 umaliza buyu la asali'ukiusudu kamchezo na mimba zisizotarajiwa upatikana hapo,kubadilika kitabia na hata kupoteza mawasiliano na ndio chanzo cha wa2 weng kuachana na kuish na m2 asie chaguo lake.
 
Long distance relation ship SUCKS!!!!!!

acha tu ukiwa na mwenza wako na akawa mtu faithful inabid umshukuru mungu.
 
Aggghhr!!.. thread za namna hi zinankosesha usingizi, yan jamaa umeongea ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom