Umaskini wa Nchi zetu na usalama wa Nchi na viongozi wetu

Mar 17, 2016
193
188
Wakuu mm napenda sana kuangalia series za intelligence na kusoma vitabu vya intelligence. Humo hasa kwenye vitabu unaonyeshwa usaliti unaofanywa na wanausalama wa Nchi husika pamoja na mambo mengine kwa sababu ya fedha.

Haya mambo yanatokea hadi kwa Nchi kubwa kabisa kama USA na Russia, hv kwa mpango huu kwa Nchi masikini kama zetu hizi, si inaweza kuta hata mkuu wa majeshi au Rais kabisa ni informer wa wakubwa kwenye fedha.
 
Back
Top Bottom