Umaskini wa hali ya juu...

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Japokuwa hali ya maisha imebana, lakini tunaweza kuwa wabunifiu..Tulipoelezwa kuwa hatuwezi kutumia rasilimali zetu kama madini kujiendeleza, walitupumbaza sana.


"nashukuru sana wote wanaosahihisha huu mtihani wangu, nitakapofeli nitaendelea na fani yangu ya bongo fleva, majita yangu yako levo za juu na sio East zuu, ukiona vyaelea ujue vimeundwa"
(C)
mtainiwa Kidato cha nne 2011.
​


 
Hapa suala si umaskini kwa kuwa si lazma kutumia vitu vyenye chata ya made in China....acha kukaririri
 
next time..............................????????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…