Umaskini mwingi huletwa na wanawake ktk mahusiano na ndoa, a woman never satisfy..!!

Samahani lakini kwa ntakalosekuliza ikiwa ntakukwaza.
Unamanisha hata mzazi wako pia alimfilisi Baba yako? au ulipata wapi utafiti kama huu?

I don't know much ujana wa mapenzi ya my mum & dad, ila quote me, THE WORST & BEST SELECTION A MAN CAN MAKE IS SELECTION OF HIS WIFE, ur are talking theoritically, i am talking practically, so hatuelewani, i have been with her looong time ila bado tupo pamoja, teaching her driving kajua, anaendesha ma nicest car, best home, enough money, tu lovers miaka 4 both families know, mm ndio namtunza hadi always, chupi, ila nimekuta ONE SMS SIKIAMINI, kalia machozi eti wrong number, we call the number jamaa anasema sweety uko wapi, kusikua sauti yangu kakata cm, kufuatilia tigo sikukuta sms nyingine yoyote tuko kwake, ndio moyo ukatulia, just coming from tigo with her kilikuwa KIMENUKA LEO SHEMEJI YENU MACHO MEKUNDUUU, wanajamiii thanks, ila still i have dought maana jamaa kapotea meaning anajua kinachoendelea..... Watch these wanawake hadi kifo
 
Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired

Mr President
Ever heard the saying "money can't buy love?"...............ndugu tafuta akupendaye!!!! Na kwanza how in the name of you know what is matured sex = rough sex? Duh Maybe ndio maana unapelekeshwa!!!!
 
kwa mida hii aliyopost mwenye post, ni mida ya lunch hivi! Nahisi hakuacha msosi nyumbani akitegemea mamaa azame mfukoni kwake lakin haikuwa hivyo kakuta jiko limenuna na mezani no msosi ndo kisa cha post ya hasira namna hii... Anyway umetumisjudge, wanawake wote hatuko hivyo! Pia jifunze familia ni yako na jukumu lako kuitunza. Jitume kutimiza mahitaji yake ili mambo yaende, anachokipata mke ni chake labda aamue yeye kuchangia
 
Unaona sasa hutakiwi kuwa na pupa dunia duara dogo...waombe radhi dadazako km huyo ni dependent ina maana umekubaliana na hiyo hali wewe mwenyewe akili mgando kwanini usimuanzishie mradi kama yy akili mgando? usirudie tena
 
Ur toooo late, not this time, moment money can buy love and everything, plus you, acha kuishi kinadharia, ishi kiuhalisia, money can buy you even now, hujui, ur left behind, money = love nowadays, usijidanganye.....
 
Kijana pole kwa kuchagua kwa kufanywa trecta kwan lenyewe hutengeneza barabara kisha huzuiwa kupita ati litaharibu barabara lilotengeneza!sio wote kaka!
 
Unaona sasa hutakiwi kuwa na pupa dunia duara dogo...waombe radhi dadazako km huyo ni dependent ina maana umekubaliana na hiyo hali wewe mwenyewe akili mgando kwanini usimuanzishie mradi kama yy akili mgando? usirudie tena

Ww hujawahi ONA, utakuja hapa JF bp 320, almost dead, kama ww ni mwanaume & umeweka akili yako UNAMWAMINI A WOMAN, ur half man in manhood ethics, hujawa MENTALLY MAN, wait keep this in ur mind, BUT CAUTION; DON'T TELL HER U DON'T trust her, just u as a man watch her movements with an eagle eye, that's it, & that is what manhood means, i am done, let's call it a day
 
Inaweza kuwa kweli nini !.

kwa mida hii aliyopost mwenye post, ni mida ya lunch hivi! Nahisi hakuacha msosi nyumbani akitegemea mamaa azame mfukoni kwake lakin haikuwa hivyo kakuta jiko limenuna na mezani no msosi ndo kisa cha post ya hasira namna hii... Anyway umetumisjudge, wanawake wote hatuko hivyo! Pia jifunze familia ni yako na jukumu lako kuitunza. Jitume kutimiza mahitaji yake ili mambo yaende, anachokipata mke ni chake labda aamue yeye kuchangia
 
wazee walisema 'ukimchunguza kuku huwezi kumla'

huu ndo usemi best mno kuhusu wanawake......

kila mwanaume anatakiwa kujua kuwa wanawake ni viumbe tofauti......

ndo maana utasikia wakisema......'alinirubuni, au 'alinidanganya' bila aibu

mwanaume aliekamilika huwezi kuwaambia watu 'ulirubuniwa'

wanawake ni emotional........maamuzi yake yatategemea how she feels.......na emotions huwa zina change
kutegemeana na outside factors........utamuamini vipi mtu emotional kwa asilimia 100?????
wao wenyewe wanajua ukweli huo.....ukitaka kumuelewa mwanamke.......tazama maamuzi ya mwanamke

akiwa katika stages tofauti.....akiwa mke maamuzi yake ni tofauti na akiwa mama au mama mkwe......
 
Punguza munkhali kaka. Inaonekana umetendwa vibaya. Tatizo ni lile lileeeee, uzembe katika uchaguzi. Jamani, kipindi cha kuamua yupi awe mke umakini wa hali ya juu unahitajika. Hayo yote ni matokeo ya kurahisisha mambo. Unamuona kabisa mwanamke huyu ana tabia za ubinafsi, wewe unajifanya hujali, unaendelea kumhonga na kumwagia mapesa. Zikiisha unataka akusaidie! Inakuja kweli????

Wapo wanawake wazuri, wanawasaidia waume zao na kutunza familia zao. Na wanamaendeleo mazuri katika maisha yao. Pole kaka, usiwachukie wanawake wote, chunguza na ajue jinsi ya kurekebisha hilo, kama haiwezekani kaza buti, beba msalaba wako!
 
wanawake wamewakosea nini?

Wama mama zenu jamani wamewabeba miezi tisa, wake zenu wamewabebea mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu . . .

Kama hukufanya chaguo jema wakati unaoa au kwenye uchaguzi wa mwenza wako msihukumu wote!

Kuna kamsemo "behind every successful man, there is a woman. . ."
HIYO SIYO KWELI WENGI WANAOFANIKIWA Wala wake zao hawajui wanafanya nini labda kama unazungumzia mtu kuwa na nyumba na kagari ka kuendea sokoni. Ni mara ngapi umesikia mwanaume mwenye pesa ameshtakiwa na mwanamke ili amlipe fidia. TAFAKARI
 
acheni upimbi nyie watu ....mama yako alikua halali usiku wakati baba yako anaspend na vimada ..dada zako walichubuka vidole kwa kufua kinyesi chako ...bila haya leo mnageneroliz eti wanawake wanaleta umaskini unajua ni kiasi gani mama yako alilima vibarua hadi wewe ukafikia hapo? tumie vichwa vyenu nyie wote mmezaliwa na mwanamke mmekaa kwenye tumbo zao for 9 months kwani huyo baba yako hakuwa na tumbo????upumbavu wako na ujinga wako unaanza kutafuta pa kujifariji kwani unashikiwa bastola?si unatoa mwenyewe kwa ulofa wako alaaaaa?
Vipi mbona unatoa mapovu ya sabuni ya omo limekugusa nini
 
Braza we acha tu.
Ilikuwa ni mwaka 2008
Baada ya kuona maisha ya kupanga ni magumu, niliweka mpango wa kujenga nyumba ya wastani. Kuna pesa nilipata mahari, nikaongezea na mkopo toka benki halafu ujenzi ukaanza. Kwa kuwa nilikopa benki, mshahara unaoingia kwenye account ukapungua kutokana na makato. Baadaye mke akapata kazi inayomlipa mara nne ya kipato chake cha awali.

Nikamshauri anipunguzie mzigo wa kodi ya meza bz pato langu limeshuka. Haikupita nusu mwaka malalamiko niliyopata, asikwambie mtu. Eti simtunzi (economically). Wakati anajua economically pato limepungua kwa sababu gani.

From that day mpaka leo sina hamu naye on economical issues. Nafanya ninachoweza.

Mkuu soma bibblia..agizo la mungu ni "enyi waume ishini na wake zenu kwa akili" so mi nahisi hujafuatisha maagizo hayo...

Maisha yangu yote mwanamke simwamini hata siku moja

Naunga mkono hoja asilimia mia!Si wakuamini kwa aslimia mia hawa!

mm ni msichana ila nakuunga miguu na mikono ........... umenena ukweli mtupu

Never trust a woman.
Na mimi naongeza wanawake ni wakuishi nao kimachale kama vile mwizi. You just can't trust them at all
 
Mhhhhhh!! Pole. Inaonekana ndoa kama hiyo haina upendo wa kweli kwa wote wawili. Kila mmoja yuko kimaslahi zaidi. Lakini zipo ndoa nyingi tu zenye mafanikio makubwa na waliyoyaleta ni wanawake.............
 
Ur toooo late, not this time, moment money can buy love and everything, plus you, acha kuishi kinadharia, ishi kiuhalisia, money can buy you even now, hujui, ur left behind, money = love nowadays, usijidanganye.....

Mr President
Hence your predicament! Money can buy you sex, and/or ingenuine affections, which when confused with the real thing i.e love(as is in your case), matokeo yake ndio accusations like these without basis!! So my friend, Id suggest you take your time to learn the difference, otherwise utabakia hivi hivi
 
Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired

Tatizo la 'sisi' wanaume tukizungumzia wanawake mara nyingi tunawaweka kando mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, bibi zetu, mabinti zetu nk nk.
 
Tatizo la 'sisi' wanaume tukizungumzia wanawake mara nyingi tunawaweka kando mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, bibi zetu, mabinti zetu nk nk.

wewe umenena........
na hata hao wanawake wanaojibu 'kwa hasira humu'
wanavaa uhalisia wa mke tu..
hawavai uhalisia wa mama zetu,dada zetu....n.k

mwisho inakuwa kama tunagombana na kushutumiana
while kila story humu in sababu zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom