Umasikini umetengenezwa na CCM

Umasikini umetengenezwa na CCM

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Huu ndio umasikini walioutengeneza CCM miaka 64 ya Uhuru

Angalia hayo mabanda kilombero ambako panasikika kuzalisha Mchele Bora kabisa duniani.

Screenshot_20250606-162709.png
 
Nchi hii utapata ukombozi wa kweli na maendeleo ya kweli kwa Wananchi na Taifa kwa ujumla siku CCM ikiondoka Madarakani. Nalisema hili kila siku na nitalisema hili kila siku.
 
Kutana na kijana anaitwa PB Poor Brain mwenye umri wa miaka 17 aliyejifundisha binafsi jinsi ya kutongoza na kukunja mishangazi kutoka Gongo la mboto Tanzania.

Aliweza kugundua udhaifu mkubwa kwenye mbinu za kutongoza mishangazi. Kupitia udhaifu huo aliweza kufikia mashangazi zaidi ya 142 na kuingea nao kwa lugha nzuri na kuishia kuwakunja

Poor Brain aliripoti hatua hizo kwa kuwashirikisha vijana wachache wenye uchu wa mishangazi kupitia email na kupata barua rasmi ya shukrani kwa chama cha mashangazi Tanzania (CHAMATA) mnamo May 2025.

Kwa sasa anasoma Nairobi bangol Malaysia na anafanya kazi kama mchambuzi wa lugha rafiki mtongozo, pia Poor Brain aliweza kugundua udhaifu mwingine wa vijana kuwaogopa wamama wenye umri mkubwa yaani (CHAMATA).

Amebobea kwenye T3 Yaani Vigezo vya kufanya mwanamke kuwa mshangazi.

Licha ya mafanikio ya kimataifa, Poor Brain ana ndoto ya kumiliki mshangazi wenye pesa na mvuto nchini Malaysia na kuongeza ufahamu kuhusu vitisho vya vigogo wenye mali hizo.

Safari ya kuwa mpenda mashangazi ilianzia kipindi yuko darasa la Saba kupitia Marafiki wa mama yake @mshangazu dot com na free courses za YAKUZ BIN YAVUZ.
 
Back
Top Bottom