Umasikini ni mzigo

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
248
Reaction score
821

Kama mtu anaweza kupata nafasi hadimu ya kutoa maoni ila jambo analo sema ni hilo, na yuko serious kabisa.
===
Kero ya ghorofa la jirani imeibua mjadala na vicheko katika mkutano wa hadhara wilayani Monduli, baada ya mwananchi mmoja kudai ujenzi huo unavuruga faragha ya familia yake.

Mwananchi huyo wa Kijiji cha Losirwa, Kata ya Esilalei, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, aliyefahamika kwa jina la Laizer, aliwasilisha malalamiko yake mbele ya Mbunge wa Jimbo la Monduli, Isack Joseph, akieleza kuwa jirani yake alianza kujenga nyumba ya kawaida lakini baadaye akaendelea kuongeza ujenzi hadi kuwa ghorofa.
Your browser is not able to display this video.
Source Mbegu Moja Tv
 
Masikini ni sehemu ya jamii yetu , so mambo ya laana kawaambie wazazi wako ...Kuna mazingira ya kuishi na watu , tafuta kwa marajiri wenzio ukajenge
 
Kisheria antakiwa awajengee vyoo imara hao jirani zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…