Mwezeshaji1
JF-Expert Member
- Sep 26, 2023
- 234
- 558
Watakuambia kila mtoto anakuja na riziki yake yaani hapo mzazi anategemea aje asaidiwe na mtoto wake wakati mtoto wake naye atakuwa na familia yake.Na wasio na hela kwa kufyatua watoto huwaambii kitu,
kazi tunayo aisee.Watakuambia kila mtoto anakuja na riziki yake yaani hapo mzazi anategemea aje asaidiwe na mtoto wake wakati mtoto wake naye atakuwa na familia yake.
Cc; InfropreneurNa wasio na hela kwa kufyatua watoto huwaambii kitu,
Na kama hujaweza kuuepuka fanya kila unaloweza usilete duniani watu wengine wa kuja kutesekafanya kila unaloweza kuepuka umaskinj
Kuwatenganisha na hilo jambo ni ngumu mno!Na wasio na hela kwa kufyatua watoto huwaambii kitu,
Period!Na kama hujaweza kuuepuka fanya kila unaloweza usilete duniani watu wengine wa kuja kuteseka
Watakwambia " hela hatuna na watoto tukose.😳😳🤣🤣Na kama hujaweza kuuepuka fanya kila unaloweza usilete duniani watu wengine wa kuja kuteseka
Kwa hiyo watoto ni mbadala wa helaWatakwambia " hela hatuna na watoto tukose.😳😳🤣🤣