Umaridadi wa nywele!

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
Waziri wa habari vijana,utamaduni na michezo mganga(Dkt) Fenella Mukangara!huyu mama na hizi nywele amependeza kweli natamani wanawake wote waachane na kuweka nywele bandia au madawa kwenye nywele zao ili kuonekana wanavutia kumbe wanaharibu kabisa!


 
we subiri ushamba wa kijijini umtoke utaona kama hatovaa yale madude si kuna siku ulimuona amevaa sketi inaonesha mchoro wa pichu.
 
Tatizo ni jinsi ya ku-maintain hizo nywele jamani! Tukiwa praimare tulikuwa tunasuka jumapili na jumatano. Sasa na u-busy huu wa maisha, mweeh! Na wengine hatujajaaliwa nywele sasa tukimbilie wapi zaidi ya kwa mchina?
 
au kama vipi umaweka kichwani kitu kama ile anaweka mama Makinda...
 
au kama vipi umaweka kichwani kitu kama ile anaweka mama Makinda...
hahaha mkuu mambo ya kuvaa Helmet!unaonekana kama umebeba kiota cha kunguru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…