Tangu zamani umalaya ulikuwepo. Sasa ukisema sasa umezidi sijui unatkwimu zipi (rates za zamani na za leo). Haya mambo yapo tu. Malaya nao wanahitaji kuburudika na kupata mapenzi, otherwise tutaongeza lesbians and gays!
Lakini I don't support penzi kwa fedha (umalaya) kama kuna jinsi ya kuondosha kabisa ingekuwa vizuri. Lakini kwa sasa hata yale ambayo jamii inaona kuwa ni laana kama vile ndoa za jinsia moja zimeongezaka kwa kasi sana. Mungu anusuru waja wake! Mungu tunusur watu wako.