Umalaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umalaya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Omega.Omega, Jan 26, 2010.

 1. O

  Omega.Omega Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani umalaya umeshamiri sana katika miji mikubwa ya nchi za afrika mashariki.
  Hivi hii imekuwa ni biashara katika soko huri?
  Hivi ni nini sababu ya biashara hii ya umalaya?
  KENYA. UGANDA, na TANZNIA.
  Ikomeshweje?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  teh teh isikomeshwe bana
   
 3. O

  Omega.Omega Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eee Kigogo.
  Are you serious ndugu?
  Kulikoni isikomeshwe?
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tangu zamani umalaya ulikuwepo. Sasa ukisema sasa umezidi sijui unatkwimu zipi (rates za zamani na za leo). Haya mambo yapo tu. Malaya nao wanahitaji kuburudika na kupata mapenzi, otherwise tutaongeza lesbians and gays!
  Lakini I don't support penzi kwa fedha (umalaya) kama kuna jinsi ya kuondosha kabisa ingekuwa vizuri. Lakini kwa sasa hata yale ambayo jamii inaona kuwa ni laana kama vile ndoa za jinsia moja zimeongezaka kwa kasi sana. Mungu anusuru waja wake! Mungu tunusur watu wako.
   
 5. Kidege

  Kidege Member

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 18, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kwa sababu there is a demand for such a market! Kama watu wanataka biashara hiyo lazima itokee supply. this is why kwenye niji midogo bado hamna hiyo biashara sana, its because the demand is low.
   
 6. O

  Omega.Omega Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhh,
  Wateja kumbe ni wengi?
   
 7. GP

  GP JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umalaya ni tabia ya mtu wajameni!!!.
   
 8. O

  Omega.Omega Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani pia ni biashara.

  Ona wanavyopata pesa.
  [​IMG]
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,066
  Trophy Points: 280
  Hii ndio biashara ya zamani kuliko zotee...
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  The oldest ''profession'' in the World...!!
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  usiniambie ni 'profession'!!!! yafunziwa wapi vile?? or its just acquired?
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Haifundishwi darasani, ni kama Urais wa nchi, hakuna shule inayotoa kozi au digrii ya Urais, lakini duniani hii marais tunao wa kumwaga!

  BTW: How are you today!?
   
 13. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yep mkuu,

  isikomeshwe. inasaidia sana hasa watu wasio na fedha za kutosha. unaingia market unabargain unapata cha chapchap, satisfied, home kulala.

  after all ni burdani kabambe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mmmh so mtu kama ana passion na hiyo anaweza tu kujitwalia maujuzi na akaendelea....gotch u!!!

  Am gud jamani and u?? hiyo likizo ndo inakuadimisha hivo??? haya bana!!
   
 15. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hapana wala sio likizo, ni kazi tu...!!! Una maanisha ile likizo yetu ya ma-stress au? :)
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  stress-free vaccation hheeeeeeee!!!
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Okay! Stress free likizo iko bomba sana.....!!! Ila nime miss vi shopping vidogo vidogo [​IMG]
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ulikuwa unafanyiwa vijishopping???
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Vile vidogo vidogo vya leso na soksi! :) Na curfrings!
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wadada wanatuhudumia wewe unasema umalaya?? nenda uarabuni ukaishi huko ndo utajua maana ya hawa mabinti.
   
Loading...