Umakini wa Buge letu bado ni kitendawili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umakini wa Buge letu bado ni kitendawili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlyafinono, Aug 16, 2012.

 1. M

  Mlyafinono Senior Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge lilipitisha sheria ya ununuzi wa vitu chakavu, leo wanapitisha sheria ya kuzuia ununuzi wa magari yenye umri wa zaidi ya miaka kumi.Umakini wa bunge letu upo kweli?
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hakuna umakini kabisa.
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  wanaoafiki waseme ndio....ndiooooooooooooooooo
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Bunge la sasa ni komedi,wanapitisha mkono wa kushoto wanakuja kuchukua na mkono wa kulia!! Katiba mpya wabunge wawe @lst na kacertificate cha sheria!
   
 5. m

  malaka JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Da ndio maana nakuamini jembe langu MNYIKA...
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  ushabiki wa kipuuzi! uchakavu wa magari hautokani na umri unatokana na matumizi! nchi kama japan barabara zao zipo nzuri naweza kusema kuliko nchi yoyote duniani na magari yao yanakaguliwa mara kwa mara na matunzo yapo ya hali ya juu! unaweza kukuta gari la mwaka 1999 lakini limetembea kilometa 36,000 tu sasa utafananisha na gari ya 2005 iliyotembea kilometa 135,000??wajapan wanauza magari yao sio kwa sababu yamechakaa bali kwa sababu ya fashion na technolojia, mfano sasa hivi magari ya hybrid yanaingia kwenye soko la japan so watu wanauza magari wnanunua hybrid ambayo kwa asilimia kubwa yanatumia betri na asilimia kidogo sana chini ya 20% ni mafuta!
   
Loading...