principles
Member
- Nov 17, 2017
- 30
- 10
Habari za wakati huu wana MMU...
Moja Kwa Moja niende kwenye mada kwamba kwenye suala la mahusiano Umakini unahitajika sana hususani linapokuja suala la maamuzi...
Week hii nipo kijijini kuhusu musuala ya kifamilia hivyo basi kuna mzozo mkubwa sanaa Nimeukuta. ..
Ipo hivi mtoto wa mama yangu mkubwa hapo awali alikua yupo mjanja mjanja sana ka binti mapepe sana yani full u super star
Sasa bwana kipindi yupo chuo kuna jamaa alimtongoza huyu dada yangu mtoto wa mama mkubwa yeye alikubali kwa sababu tuu jamaa alikua anatoa hela za matunzo elfu hamsini laki kitu cha kawaida simu hizi na Matumizi mengine ...
Jamaa anahudumia ndani ya miezi tisa hajawahi kula mzigo....
Sasa bwana huyu dada kuna libwana lake la kitaa ambalo handsome full shine kwa vile kasoma chuo Dar aisee picha tuu social media zilikoma ..
Huyu classmate wake anampiga fix tuu..
Kumbe bwana wanaume sisi tukiamua kitu inawezekana
Binti kamaliza diploma yake yule njemba ya kitaa ilikua inakula mzigo bila ya matunzo kwa sababu ya handsome boy kampiga chini binti. .
Kurudi kwa jamaa yeye alikua mkimya tuuu ..
Sasa binti (dada) alikuwa ndio anajisogeza kwa msela mwisho wa siku jamaa kala mzigo na mimba juu ..
Halafu kampiga chini ...
Sasa huyu dada yupo home analalamika tuu wanaume sio watu ..
Mimi kwa kuwa huyo jamaa nafahamu na maisha ya home nayajua ilibidi nimchane dada kuwa upo wrong mana kwanini ulikua unamzingua jamaa kisa sio handsome jamaa alikua anakuchora tuu ...sasa tunza mimba basi ikawa kesi akamwambia mama mkubwa
Mama kafura kweli kweli. ..
Wakina dada na wakina kaka
Wakina baba na wakina mama
Umakini kitu kizuri Sanaaa....