Umakini kazini

Kuna mmoja anaitwa Hans yupo morogoro road pale mataa ya fire huyu jamaa kiboko ni funny kumuangalia yupo njema aisee namkubali kishenzi asipokuwapo yeye utajua kabla ya kufika magomeni
 
Akitoka hapo lazima akakae kona kutafuta kifuta jasho!
 
hamfikii mjeda mmoja anakuwaga ubungo mataa, hana kitambi halafu anaonekana ni Muraa, yaani anaongozaga magari hadi ana cheza, chezea midadi wewe
Ila yule 99.9% ganja inamhusu
 
Kuna mmoja anaitwa Hans yupo morogoro road pale mataa ya fire huyu jamaa kiboko ni funny kumuangalia yupo njema aisee namkubali kishenzi asipokuwapo yeye utajua kabla ya kufika magomeni

Kweli uliyoandika yule ndugu Hansibakiwa amepiga vitu vyake harafu kashusha kofia kuficha macho mbona utapenda yaani kazi anaifanya katika kiwango cha juu hadi unafurahia uwepo wa askari wa usalama barabarani yaani hata adha ya foleni inapunguzwa eneo lile.
 
Kuna siku ililikua mvua inanyesha Hans kavaa koti refu basi alikua anayavuta yanayotoka magomeni halafu kama anayafuata kisha akazunguka kama michael jackson halafu yale maji yakawa yanaruka akayainamia akawaa anazidi kuyavuta wee sisi tumechelewa ila tulikua tunafurahi tu vituko vyake
 
Kuna mmoja anaitwa Hans yupo morogoro road pale mataa ya fire huyu jamaa kiboko ni funny kumuangalia yupo njema aisee namkubali kishenzi asipokuwapo yeye utajua kabla ya kufika magomeni

Huyo jamaa yupo poa sana yaani zaidi ya rafiki....nilimfahamu nilipokuwa konda wa magari ya temeke muhimbili... yaani jamaa ana ubinaadamu sijawahi kuuona kwa matrafiki wengine....alinifanya niifurahie kazi yangu ya ukondakta.....
 
anaonekana ni muumini wa sigara ----- anaweza akakuangalia kama anakupiga mkono halafu akakuambia upite
moja ya mapolisi wanaopendwa na kazi yake anaifanya kwa wito na mapenzi yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…