KALIMIMBILI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2021
- 205
- 362
Who is Magufuli by the way,Na alaaniwe mtu nayemtumainia mwanadamu mwezake,maandiko yasema.Kinda sorta like Trumpism without Trump, I hope we are headed towards Magufulism without Magufuli.
Not that I wanted him to die nor relished his death. Far from it.
I wish the mantra of ‘hapa kazi tu’ continues.
However, missing from it will be the abrasive language we got used to.
Missing will be the minacious tone our ears got accustomed to.
Missing will be [perhaps] the churlishness; the erraticism; the public scolding; and other undesirable personality excesses that we became so familiar with.
The new sheriff in town has a patina of soft-spokenness
Mkulu huyu mpya anaongea kwa utaratibu.
Sijaona popote ambapo alisikika akipandisha sauti kumgombeza mtu.
Sijui hata kama anaweza kufoka.
Akiwa na Umagufuli bila ya kuwa Magufuli, basi naamini atafanikiwa sana.
But until then [whenever that is], the jury is still out.
Misingi aliyoiacha Kikwete?
Kikwete yupi?
Huyu ambaye serikali yake ilinunua magari 700 ya maji ya upupu?
Kinda sorta like Trumpism without Trump, I hope we are headed towards Magufulism without Magufuli.
Not that I wanted him to die nor relished his death. Far from it.
I wish the mantra of ‘hapa kazi tu’ continues.
However, missing from it will be the abrasive language we got used to.
Missing will be the minacious tone our ears got accustomed to.
Missing will be [perhaps] the churlishness; the erraticism; the public scolding; and other undesirable personality excesses that we became so familiar with.
The new sheriff in town has a patina of soft-spokenness
Mkulu huyu mpya anaongea kwa utaratibu.
Sijaona popote ambapo alisikika akipandisha sauti kumgombeza mtu.
Sijui hata kama anaweza kufoka.
Akiwa na Umagufuli bila ya kuwa Magufuli, basi naamini atafanikiwa sana.
But until then [whenever that is], the jury is still out.
mama ameanza pale jpm ,alipoishia,naamini atafuata nyayo zake kwa yale mazuri aliyo yaasisi jpm,na penye mapungufu afanye maboresho.ila ukisema Kama atafanya Kama jk,hapo hapana!!Kama atarudisha ile misingi aliyoiacha Kikwete basi huenda akafuata nyayo za Nyerere za kiwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi (14 years).
View attachment 1737267
Uko sahihi kabisa.Kinda sorta like Trumpism without Trump, I hope we are headed towards Magufulism without Magufuli.
Not that I wanted him to die nor relished his death. Far from it.
I wish the mantra of ‘hapa kazi tu’ continues.
However, missing from it will be the abrasive language we got used to.
Missing will be the minacious tone our ears got accustomed to.
Missing will be [perhaps] the churlishness; the erraticism; the public scolding; and other undesirable personality excesses that we became so familiar with.
The new sheriff in town has a patina of soft-spokenness
Mkulu huyu mpya anaongea kwa utaratibu.
Sijaona popote ambapo alisikika akipandisha sauti kumgombeza mtu.
Sijui hata kama anaweza kufoka.
Akiwa na Umagufuli bila ya kuwa Magufuli, basi naamini atafanikiwa sana.
But until then [whenever that is], the jury is still out.
Na alaaniwe amtegemeaye marehemu na alaaniwe kweli kweli.mama ameanza pale jpm ,alipoishia,naamini atafuata nyayo zake kwa yale mazuri aliyo yaasisi jpm,na penye mapungufu afanye maboresho.ila ukisema Kama atafanya Kama jk,hapo hapana!!
Misingi aliyoiacha Kikwete?
Kikwete yupi?
Huyu ambaye serikali yake ilinunua magari 700 ya maji ya upupu?
Hahaha kuna watu mnachekesha...!! Mbongo umchekeee..!! Tushakuwa kama punda hatuendi bila fimbo.Kiongozi sio ukali ni busara siku zote.
Ata mussa alikuwa mpole kuliko binadamu wote duniani kipind hicho na alifanya makubwa..
Njoo na maubabe yako kama nimrodi ufe na nzi kichwani.
Mwanzisha mada soma comment hii kwa umakini na tafakuri jadidi.Kila zama na kitabu chake bwashee!
Tembeeni kifua mbereeeUmagufuli bila Magufuli unahitajika nchi hii ili iweze kupiga hatua mbele za maendeleo.
Ngabu hataki kuukubali ukweli kwamba Magufuli hatunaye tena!Mwanzisha mada soma comment hii kwa umakini na tafakuri jadidi.
Samia ni Rais kamili, anatakiwa kuongoza akiwa kiongozi kamili, àna utashi kama binadamu na hivyo ana style zake za kuongea, kutenda, kuelekeza, kuomba, kuonya, kukosea, kusahihisha, kukosoa, kukalipia na kisha kuongoza.
Kumshauri aendeshe nchi kwa kutumia kivuli cha mtangulizi wake ni kumkosea heshima. Mbona Magufuli hakuongoza kwa kufuata uKikweteism?
H.E. Samia is not a Snake in a Monkey's shadow.
Wewe si rais wako AMEKUFA?Misingi aliyoiacha Kikwete?
Kikwete yupi?
Huyu ambaye serikali yake ilinunua magari 700 ya maji ya upupu?
Watu mna kumbukumbu fupi kweli!Yale Magari walinunua wapate 10% sio kuwawasha Wapiga kura na ndio sababu hawakuyatumia
Uelewa wako na wa wengine kama wewe ni mdogo sana.Mwanzisha mada soma comment hii kwa umakini na tafakuri jadidi.
Samia ni Rais kamili, anatakiwa kuongoza akiwa kiongozi kamili, àna utashi kama binadamu na hivyo ana style zake za kuongea, kutenda, kuelekeza, kuomba, kuonya, kukosea, kusahihisha, kukosoa, kukalipia na kisha kuongoza.
Kumshauri aendeshe nchi kwa kutumia kivuli cha mtangulizi wake ni kumkosea heshima. Mbona Magufuli hakuongoza kwa kufuata uKikweteism?
H.E. Samia is not a Snake in a Monkey's shadow.
Unaelewa maana ya Magufulism without Magufuli au wewe ukiona jina Magufuli tu unadhani ni yule mtu aliyekuwa anaitwa John Pombe Magufuli?Magufuli alikuwa mwizi. Sidhani kama wataendeleza wizi wa mali ya umma.
Hajafa.Wewe si rais wako AMEKUFA?
Wizi na mwizi wote ndio haohaoUnaelewa maana ya Magufulism without Magufuli au wewe ukiona jina Magufuli tu unadhani ni yule mtu aliyekuwa anaitwa John Pombe Magufuli?