Fungua akili yako fikili kwa mapama kila unapokutana na mtu anashabikia ccm au alikuwa upinzani sasa leo anatetea ccm chambua sana mawazo yate.
Ukiona mamlukia anaongea utaaikia maneno ya kuponda ukawa ktk maneno yote anayoyaongea kuna mambo atakuwa anajichanganya haya mambo ndio uyachambue.
Mwl Julias Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka chama tawala. Mzee huyu hakiwa Mungu bali yeye ni miongoni mwa watu waliokiinjinia chama hicho CCM hivyo alikuwa anafahamu maafisa waliotumwa kujifanya wapinzani kwa lengo la kulinda CCM.
Eti unaenda kanisani kutubu kwa padri unataja nililuwa mwizi ndani nina mbuzi wa wizi baada ya siku mbili polisi wamevamia kwako na kupekua.
Watanzania huu mwaka ni wetu tuwang'owe huu mfumo CCM uliojaa kiburi,wala rushwa na mafisadi na mizaha za kulindana kuchaguana kwa lengo la kulindana ktk mabiashara ya wakubwa
UKifika Mwanza unaweza hata usisikie njaa kila kona ni Lowassa na Wenje.Imefikia mahala huyu jamaa wa magamba ameamua kukaa kimya na kucheza zile mbinu za miaka yote za magamba bukubuku/dasidasi/tenten chaajabu kila raia anasema wazilete tuzile ni kodi zetu zilichotwa kupitia ESCROW.
Dalili hizi ni kwamba wenje na lowasa wameshapita bila kupingwa
Mwaka 2005JK akiwa ktk kampeni mwanza alisema ****unakuta dr anaingia kazini na kuacha koti ofisini nipeni kura nikawashugulikie*****baada ya kupewa tatizo likaongezeka sasa dawa hakuna hosptal leo hii hii CCM inarudia kutumia uchafu huohuo ili kuhadaa wananchi.
Maana yake ni kwamba CCM inalea matatizo mengi ili kipate mtaji ktk chaguzi haiwezekani chama kilichopewa ridhaa ya kuunda serikali kinayafahamu matatizo kinayalea na kuyakumbatia.
Wwatanzania tusichezewe akili na magamba tuyaoneshe mwaka huu kuwa sisi sio wa kupakiza kwene malori kama unapeleka ng"ombe mnadani
Pia JK alisema angelishugulikia mafisadi na kuyafunga wapi?maana ukitaka kukomesha ufisadi nchii hii lazima uanze na magwiji wa ufisadi Mkapa na JK na Kinana.
Mabadiliko yasipotoshwe,mabadiliko ni kuuondoa mfumo CCM uliolea na kukuza matatizo ya rushwa na ufisadi.
Huu ni mwaka wa kuajiri mfumo mpya wa UKAWA kupitia CHADEMA watanzania tusifanye utani tukikosa mwaka huu tutajuta maana ccm yamebakia maroho ya madaraka tu na wezi kibao
Kupasuka kwa CCM mwaka huu iwe faida kwetu kukiondoa choo (kwa mujibu wa Dr. Slaa) hiki kwa manufaa ya vizazi vingine.
Maisha bora kwa kila mtanzania=hapa kazi tu=kasi mpya nguvu zaidi=kuhadaa wajinga