Umafia wa CCM kwa kushirikiana na NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umafia wa CCM kwa kushirikiana na NEC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Aug 22, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  Mi naomba kuuliza hivi taratibu za kuchukua fomu za kugombea ubunge haziambatani na vyeti vya kuzaliwa? inakuwaje mpk Mgombea anaporudisha fomu na baada ya pingamizi ndo suala la vithibitisho vya uraia linajitokeza?

  Kwa harakaharaka tu ukipewa masaa 24 utoe cheti chako cha kuzaliwa haiingii hakilini hata kama ulizaliwa Hospitali maana procedure za kukipata ni zaidi ya wiki na kama ilitokea hukuzaliwa hospitali ina maana umetolewa katika kinyang'anyiro, kwa vile hata huo muda wa kukusanya mashahidi yaani wazee wanaojua wazazi, babu, bibi na manyanya wako hautoshi na haswa ukizingatia masuala kama ya Wajumbe, Makatibu Kata ni anga za CCM!

  Pia watu wengi uhama toka mahali walipozaliwa kujitafutia riziki! Jamani au hii ndo ile sababu ya kuchelewesha vitambulisho vya uraia? ili Chama cha Majambawazi wavune viti kwa ubua? Mungu awalaani CCM hii si Demokrasia! Hii ni uharamia CCM angalieni tu ipo siku watu wataingia Misituni!
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Ni mbinu chafu kwa kushirikiana na Jaji Lewis na bwana Rajabu. Pia katiba ya nchi yetu ni ya ovyo, yaani mgombea hasipokuwa na mpinzani basi kura zinazopigwa kwa ajili ya rais kwenye jimbo hilo basi zinaenda na kwake!!! Hakuna haja ya kuingia msituni zaidi ya kuingia mtaani kama Iraq na kutumia suicide bombing style!!! Au RSA - South Africa!!
   
Loading...