Umafia haujaanza leo. Nakumbuka kiongozi fulani aliwekewa sumu kwenye microphone wakati wa kuhutubia ili afe lakini...

Tagert haikuwa kagame bali kagame ndo alihusika na mbinu ile!umewahi kucheki muvi ya anold shwazenegger ERASER?utajua jinsi ya kumuondoa kiongozi mwenye kosa kubwa kwa kifo!!!Jamaa alikuwa anakubalika sana zenji hata marehemu alikuwa anamkubali!!!sasa tunafanyaje ili kuondoa utaratibu wa kupokezana vijiti?ERASER NDO IKAWA SULUHISHO!!!!!!kama jamaa angekuwepo angesumbua sana hata mzee wa msoga asingeshika hatamu!!!
 
Hii code mtu aliyeumia mguu?,
Mwenye degrees 4 wakamlisha kinyonga
Kama kura hazimtoi jiwe basi apewe hiyo mic
Nae si mwenzenu nyie ccm
 
Back
Top Bottom