Umafia haujaanza leo. Nakumbuka kiongozi fulani aliwekewa sumu kwenye microphone wakati wa kuhutubia ili afe lakini...

Mhn!Ebu funguka zaidi bhana!Mi nakumbuka ile ya Kolimba tu. Nyingine ni ya "ungaunga" wa Chenge "joka lenye makengeza", aliyekuwa akiwanga kwenye ukumbi wa bunge akakamatwa. Ule ungaunga ukapelekwa kwa mkemia mkuu ambaye alikuwa msukuma mwenzake. Wakasema ulikuwa unga wa mahindi.
Jamaa anajua mengi zaid huyu
 
Kwa hiyo mleta mada unapendekeza nini ?? Aliyejuu anakuona ujue!
 
R. I. P Kolimba, kuna watu wameumizwa sana tangu uongozi wa JK, wakiwemo Marais wawili wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa muungano awamu ya tatu
Watu ni wengi sana, CCM ni Wauwaji.
wakati kesi ya mauaji ya Mzee Karume ikiendelea kuna mtuhumiwa hakupatikana anaitwa X baadae wazee walituambia kumbe Mr.X alikuwa mzaliwa wa Butiama kule Musoma!!!!
 
Nimekumbuka umafia haujaanza leo, waKati wa uongozi wa mzee fulani katika nchi moja ya kusadikika, walipanga mpango wa kummliza kiongozi mmoja maarufu,

Kwa kuwa alikuwa awe mgeni rasmi wakaweka sumu maalumu kwenye microphone atakayotumia yeye na ile sumu ilikuwa inaanza kufanya kazi baada ya masaa kadhaa ambayo mlengwa.ndo angeanza kuhutubia,

Kwa bahati mbaya akapata Dharula hakuenda kwenye sherehe ile,

Wakamwambia msaidizi wa pili ambaye ndo anafuata baada ya mkulu kwamba basi we kahutubie, ambao walimwambia hawakujua kilichokuwa kinaendelea, pia alijua mtu mmoja tu ambaye alianza kulia kabla hata jamaa hajaanza kuhutubia, ikabidi anyanyuke aende chooni akajifuta na kurudi, hii ni kabla hajaumia mguu,

R.I.P

View attachment 903931
Tena ilikuwa ni kipindi cha maonesho ya 77!
 
Mhn!Ebu funguka zaidi bhana!Mi nakumbuka ile ya Kolimba tu. Nyingine ni ya "ungaunga" wa Chenge "joka lenye makengeza", aliyekuwa akiwanga kwenye ukumbi wa bunge akakamatwa. Ule ungaunga ukapelekwa kwa mkemia mkuu ambaye alikuwa msukuma mwenzake. Wakasema ulikuwa unga wa mahindi.
Hahahaha hiyo ya mzee wa makengeza sijawahi kuisikia aisee!
 
CCM siyo mbaya kama ambavyo CHADEMA so mbaya ila wanachama kama kina kubenea walopanga kumuua boni na wanachama wamafia wa CCM ndo wabaya
Daah eti CCM sio mbaya ila wanachama ndio wabaya..hivi unaweza kuwa na CCM bila wanachama? Hao wanachama si ndio CCM yenyewe
 
Back
Top Bottom