Umafia haujaanza leo. Nakumbuka kiongozi fulani aliwekewa sumu kwenye microphone wakati wa kuhutubia ili afe lakini...

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,322
2,000
Nimekumbuka umafia haujaanza leo, waKati wa uongozi wa mzee fulani katika nchi moja ya kusadikika, walipanga mpango wa kummliza kiongozi mmoja maarufu,

Kwa kuwa alikuwa awe mgeni rasmi wakaweka sumu maalumu kwenye microphone atakayotumia yeye na ile sumu ilikuwa inaanza kufanya kazi baada ya masaa kadhaa ambayo mlengwa.ndo angeanza kuhutubia,

Kwa bahati mbaya akapata Dharula hakuenda kwenye sherehe ile,

Wakamwambia msaidizi wa pili ambaye ndo anafuata baada ya mkulu kwamba basi we kahutubie, ambao walimwambia hawakujua kilichokuwa kinaendelea, pia alijua mtu mmoja tu ambaye alianza kulia kabla hata jamaa hajaanza kuhutubia, ikabidi anyanyuke aende chooni akajifuta na kurudi, hii ni kabla hajaumia mguu,

R.I.P

images (41).jpeg
 
Roman Israel Esq

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
2,036

View attachment 903931
Mhn!Ebu funguka zaidi bhana!Mi nakumbuka ile ya Kolimba tu. Nyingine ni ya "ungaunga" wa Chenge "joka lenye makengeza", aliyekuwa akiwanga kwenye ukumbi wa bunge akakamatwa(Alikutwa akinyunyiza ungaunga mle ndani usiku). Ule ungaunga ukapelekwa kwa mkemia mkuu ambaye alikuwa msukuma mwenzake. Wakasema ulikuwa unga wa mahindi.
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,322
2,000
Mhn!Ebu funguka zaidi bhana!Mi nakumbuka ile ya Kolimba tu. Nyingine ni ya "ungaunga" wa Chenge "joka lenye makengeza", aliyekuwa akiwanga kwenye ukumbi wa bunge akakamatwa. Ule ungaunga ukapelekwa kwa mkemia mkuu ambaye alikuwa msukuma mwenzake. Wakasema ulikuwa unga wa mahindi.
Mkuu kufunguka sana so vema mkuu, kumbuka jarida la Mo halina mtu mpaka sasa unaweza ukashikishwa wewe kesi ya utekaji
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Nimekumbuka umafia haujaanza leo, waKati wa uongozi wa mzee fulani katika nchi moja ya kusadikika, walipanga mpango wa kummliza kiongozi mmoja maarufu,

Kwa kuwa alikuwa awe mgeni rasmi wakaweka sumu maalumu kwenye microphone atakayotumia yeye na ile sumu ilikuwa inaanza kufanya kazi baada ya masaa kadhaa ambayo mlengwa.ndo angeanza kuhutubia,

Kwa bahati mbaya akapata Dharula hakuenda kwenye sherehe ile,

Wakamwambia msaidizi wa pili ambaye ndo anafuata baada ya mkulu kwamba basi we kahutubie, ambao walimwambia hawakujua kilichokuwa kinaendelea, pia alijua mtu mmoja tu ambaye alianza kulia kabla hata jamaa hajaanza kuhutubia, ikabidi anyanyuke aende chooni akajifuta na kurudi, hii ni kabla hajaumia mguu,

R.I.P

View attachment 903931
Pamoja na ushetani wote huo,Bado tu unaipenda CCM?
 
shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,632
2,000
Labda ndio alikuwa dereva wao.
Mzee wa fact,Le mbebeez Le mobimba Le degree in Criminology and Psychology le baharia Le Mkitambi Le Msemaji wa Bashite Le forever young !Haja comment chochote kuhusu picha ya gari la mateka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom