Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Zito Kabwe,
mwanasiasa kijana, mahiri kuzungumza, mpambanaji.
kuporomoka kwake kunatokana na papara, mbwembwe na kupenda ubinafsi..
sasa iposababu nyingine ya kupungua kwake umaarufu ktk siasa za nyumbani , ni tabia yake ya kuyumba kimaamuzi na kimaadili.
na kule kuhusishwa kwake na kina RA kumemshushia hadhi na heshima yake miongoni mwa watu waliomuamini.....
aaah Waberoya who cares if u dont care ?and then, great thinker ...what is your conclusion??
who cares!
Zito Kabwe,
mwanasiasa kijana, mahiri kuzungumza, mpambanaji.
kuporomoka kwake kunatokana na papara, mbwembwe na kupenda ubinafsi..
sasa iposababu nyingine ya kupungua kwake umaarufu ktk siasa za nyumbani , ni tabia yake ya kuyumba kimaamuzi na kimaadili.
na kule kuhusishwa kwake na kina RA kumemshushia hadhi na heshima yake miongoni mwa watu waliomuamini.....
.Tukiwa tunajongea karibu na uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na rais,
umaarufu wa mwanasiasa kijana wa kambi ya upinzani kutoka CHADEMA umepungua mno.
Amekuwa kimya sana, hatoi tena zile hoja zake za nguvu na hasikiki kabisa.
Sijui ndio tayari ameshajiunga na kambi ya Lowasa na Rostam Aziz na kuwaacha wananchi wake wa Kigoma?