me nauliza kabla ya kanumba huyo lulu alikua na wangapi?na hata alipokua nae alikua peke yake?binafsi nasema kama lulu angekataa kanumba angemlazimisha?mara ngapi hako kabinti kametolewa kwenye vyombo vya habari na mambo ya ajabu anabu?mi cdhani kama marehem anastahili kulaumiwa et mzinzi ama amekaharibu hako katoto.nadhani wa kulaumiwa ni wazazi wa lulu kwa kutokumlea mtoto wao ktk maadili yanayofaa.mtoto aliyelelewa ktk misingi inayofaa hawez kupatwa na kashfa chafu kama alizokua nazo huyo binti.me naona mkuu ucmuhukumu marehemu kua ni mzinzi cjui nini ilhali ameshakwenda kwa hakimu wa haki,2mwachie Mungu amuhukumu.
pokea LIKE ya nguvu mdau,unajua watu wanamlaumu tu kanumba bila kufikiria upande wa huyu dogo.mtoto kaanza mambo ya kikubwa mapema anategemea kina kanumba wangemwacha?mtoto ana maskendo kibao kuna kipindi inasemekana alikuwa attacked na mama mmoja akajeruhiwa na viwembe kisa anatembea na mume wa huyo mama.sijui mnafikiria nn,alaumu wazazi wake na lulu mwenyewe kwa kukimbilia mambo ya kikubwa kabla ya umri wake.
huyu mtoto alikua mapepe mwenyewe na mwisho yamemkuta makubwa.km angekua anajiheshimu na kuwa serious na msimamo wake hata wanaume km kina kanumba wangemwogopa.tatizo utulivu zero na kupenda makubwa kupita umri wake.sikubaliani na kanumba kutoka na huyu mtt lakini lawama zangu nazielekeza zaidi kwa lulu.RIP the great.
hana jipya myb naye anataka umaarufu kupitia kanumba na anastahili hukumu kwa kukaa kimya kwa miaka5 wkt alijua hili kabla.Nawewe ulikuwa wapi tangu zaidi ya hiyo miaka mitano kumfungulia mashitaka Marehemu Kanumba? Mbona hatukuwahi kusikia kuwa Kanuma alikuwa na wapenzi watoto. Lulu mwenyewe alishawahi kukanusha hadharani, sasa ulitaka tumkanye marehemu kwa hisia tu. Hilo la kuhusu umaarufu wake, zilikuwepo sababu za msingi zilizopelekea hivyo. Nakushangaa kuupinga umaarufu wake, ulikuwepo na utadumu kwa muda sana.
Kama hujaipenda si unyamaze? kwani lazima uchangie?Binadamu bana! Sikuipenda hii thread.
We tired with this Rubbish. imetosha sasa.
Ndio maana akaitwa mtoto, kuwa hana uwezo wa kupambanua mambo. Kanumba na wenzie walioingia kwenye mahusiano naye ya kingono, walitake advantage ya utoto wake. Ndio maana kwa mujibu wa sheria kuwa na mahusiano ya kingono na mwanamke aliye chini ya miaka 18 ni ubakaji kwa kuwa sheria inamchukulia mschana wa chini ya umri huo, hawezi kutoa ridhaa ya kushiriki ktk ngono. So hata kama alikubali (kwa kauli au kwa mwenendo) bado kukubali kwake hakutambuliwi kisheria. Hata kama alikuwa mcharuko wao kama watu wazima walitakiwa kujiepusha naye. Hawawezi kukwepa lawama.