Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Ukicheki clip Youtube ndipo utamshangaa huyu marehemuLazima tumlaumu
Mtaje tu ajirekebishe tunajifunza kupitia makosaYuko mmoja hapa mtaani kwangu,simuombei mabaya ila dah jamaa anajiamini sana,hizo show kama alizokuwa nafanya huyo marehemu hapo juu huwa anazifanya sana...
Kufi cha kujitakia hata mungu mwenyewe anajua haiitaji elimu ya phd kungamua alifanya uzembeAmekufa kizembe, ila Mungu ndiye ajuaye mtu atakufa kwa namna gani pengine angekwepa hilo angeangukiwa nyumba
R.I.P
YesNdo huyo alieshirikishwa na J Martins kwenye Touching Body au ni mwingine?
Kabisa kaka hopes umemuona alivyokuwa anaendesha hilo sportHuyu hana tofauti na walioenda kuchota petrol